Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,
tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
[emoji848][emoji848]Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,
tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Acha woga wewe, mwanamke anaweza kupenda tu mambo unayompa sita kwa sita.
Wanawake wengine pesa wanazo.
Ila Jamani pesa sio kila kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi kwangu hela ni kila kitu, mimi sitaki mwanamke anayenipenda, nataka mwanamke wa kupenda pesa au vitu vyangu.
Sitaki marafiki wa kweli, nahitaji machawa tu wakupenda hela zangu ili nizitafute zaidi.
Mimi kwangu hela ndiyo mwisho wa matatizo.
Nakaziaa..Ila Jamani pesa sio kila kitu
Huogopi Mungu au huna dini?Hakuna tofauti kati ya hayo yote.
Awe ni mke au mwanamke ni kitu kile kile.
Ndiyo nimezoea kuzini sema lingine.
Wewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Mimi nipo hapa Mwalimu Nyerere chuoni so nakuja hapo Kaka ili uninunlie Nyama choma na Konyagi kubwaKaribu hapa THE CAMP JOINT kigamboni tupate bia, kwa nje kuna watoto wadogo weka dau lako tu!!
Duuuuuh!!Mimi sihitaji kupendwa, nahitaji ngono ambayo pesa inaweza kuinunua,
Mimi sihitaji marafiki wa dhati, nahitaji machawa na wapambe, ambao pesa inaweza kuwanunua.
Kwahiyo kwangu mimi hela ni kila kitu.
mtoto mdogo, hujui kitu.Mimi sihitaji kupendwa, nahitaji ngono ambayo pesa inaweza kuinunua,
Mimi sihitaji marafiki wa dhati, nahitaji machawa na wapambe, ambao pesa inaweza kuwanunua.
Kwahiyo kwangu mimi hela ni kila kitu.
Aah wapiWewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Mwenzio wa Mwanza akajua pesa itamtuliza mkewe akaishia kumlamba risasi sabaKwangu mimi hela ni kila kitu!
Tunatofautiana mitazamo!