Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela, tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
Umetuandikia Upopoma, nakushauri kabla Jua halijazama wahi Kitanda chako kati ya Moja ya Hospitali hizi za Vichaa za Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga ili ukaanze Matibabu yako na Akili zako zikurejee vyema.Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,
tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
Kwa hiyo sisi tunaokataliwa na wanawake hatuna future?Wewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Ukiona unakataliwa na mwanamke jua siyo wa level zakoKwa hiyo sisi tunaokataliwa na wanawake hatuna future?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni fact hiyo, lakini inafaa zaidi pia ukiwa na hela hasa km yeye hayuko poa kiuchumi. Vinginevyo utamteka kitandani pekee alafu fedha atazipata nje nakadhalika....Acha woga wewe, mwanamke anaweza kupenda tu mambo unayompa sita kwa sita.
Wanawake wengine pesa wanazo.
Wengi hapa wanapigwa changa iweje sasa mbeleni ujuta kuwakataa waliokuwa masikini zamani leo wanapesaWewe bado hujawajua wanawake. Mwanamke amejaliwa na mwenyezi Mungu macho ya rohoni. Mwanamke anauwezo wa kujua huyu mwanaume mbeleni atatoboa au laah! Anajua kabisa hapa pana future na mbeleni mtakuwa na falanga za kutosha.
Pesa sio kila kitu.Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,
tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
ππππ Yule jamaa sio wa wa kumuamin ni muongo tu, alisema hataki kaz sahv kaajiri ni DCYule jamaa aliona mbali..........Dem ninayemtaka manka wa kichaga jioni ukirudi anauliza " umeingiza sh ngapi!?"