Ukweli mtupuYaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.
Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea.
Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome.
Wewe hauna hela, ila yeye matatizo yake bora matatizo yako wewe, siku akija kwako ndipo utajua kumbe hukujua vizuri kumhusu.
Mimi mwanamke anayeniambia ananipenda hata kama sina hela, najiweka mbali sana na yeye.
Maana hiyo ni dalili ya kukubali ufukara.
Inatakiwa mwanamke akupende ukiwa na hela,
tofauti na hapo ni matatizo unatengeneza.
Kwa hiyo sisi tunaokataliwa na wanawake hatuna future?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We fala unajikutaga una akili sana ..kumbe we ndo popoma numero uno....Umetuandika Upopoma Mtu nakushauri kabla Jua halijazama wahi Kitanda chako kati ya Moja ya Hospitali hizi za Vichaa za Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga ili ukaanze Matibabu yako na Akili zako zikurejee vyema.
Imeshapenyea kunako hiyo MkuuWe fala unajikutaga una akili sana ..kumbe we ndo popoma numero uno....
Hilo sio suala la mtizamo. Ni fact,pesa sio kila kitu.Kwangu mimi hela ni kila kitu!
Tunatofautiana mitazamo!
Hua unanifurahisha sana kwa kauli zako mkuu[emoji23]Umetuandika Upopoma Mtu nakushauri kabla Jua halijazama wahi Kitanda chako kati ya Moja ya Hospitali hizi za Vichaa za Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga ili ukaanze Matibabu yako na Akili zako zikurejee vyema.
Fact is not about you or me. It's just a FACT.Kama ni fact, basi mimi kwangu hela ni kila kitu, hiyo ndiyo fact.
Kwangu mimi hela ni kila kitu, kwako kama siyo kila kitu basi kwangu hela ndiyo mwisho wa mambo.
Pesa inanunua ngono haiwezi kununua upendo,Kwangu mimi hela ni kila kitu!
Tunatofautiana mitazamo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa hiyo sisi tunaokataliwa na wanawake hatuna future?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mimi sihitaji kupendwa, nahitaji ngono ambayo pesa inaweza kuinunua,Pesa inanunua ngono haiwezi kununua upendo,
pesa inanunua daktari sio afya njema,
pesa inanunua kitabu siyo maarifa,
pesa inanunua wapambe/machawa sio marafiki wa kweli
Mkuu samahani vp safari yako ya kigoma kuja mjini ulifanikiwa au umerudi kigoma? nipo nje ya mada ila kila nikiona id yako nakumbuka sana ule uzi wako.Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana.