Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomaNi hatari sana
Si kweli mkuuNi mtu mjinga pekee atamuamini mwanamke na siku ukianza kujifanya unamuamini au unamuheshimu mwanamke jua umekaribia kufa
Huo ndio ukweli mwanamke awe na cheo, asiwe na cheo, awe kasoma, awe hajasoma hua akili yao ni moja hawana utofauti wowote kwenye mitazamo yaoSi kweli mkuu
Jamaa mstaarabu sana, busara zimekaa, hakuna paniki hakuna hasira. Hana lawama. Ni fact tu anaongea.
Sawa mkuuHuo ndio ukweli mwanamke awe na cheo, asiwe na cheo, awe kasoma, awe hajasoma hua akili yao ni moja hawana utofauti wowote kwenye mitazamo yao