Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

Unajua bwana wanawake sijui akili zao zipoje,huyo Juma atakuwa alipewa papa just kwa sababu ni fundi yaani mwanamke unaweza ukampa nyumba lakini akamvulia nguo fundi umeme mbadilisha bulb iliyoungua,miaka ya nyuma 2000s kipindi hicho naishi Mabibo Dar nilikuwa namfahamu dada mmoja mzuri kweli nurse Muhimbili alikuwa anakandwa na konda tena teja wa vi-Hiace daladala za enzi hizo.

Huyo jamaa alikuwa rafiki wa bro nilishawahi kuwasikia ktk mazungumzo yao akimwambia “yule demu nasukuma ni mwenyewe tu amenielewa,siku ya kwanza kufahamiana aliniambia anapenda namna ninavyogonga gonga coin wakati nakusanya salio nikamchomekea wala hakusumbua” kwa tunaopanda daladala unajua ile konda akidai nauli yake anavyofanya,alikuja mpaka kumgeuza single mama.

Anayemkumbuka Salim Chicago Matelephone kipindi akiwa na yard ya kuuza magari pale Town Clock Tower early 2000s jamaa alikuwa na mke mmoja mkali sana alimpa kila kitu namkumbuka kipindi hicho akitembelea Hilux Surf 4x4 but surprisingly alikuja kumpa maku driver anae-park magari pale yard halafu mshkaji mchafu mchafu tu akienda huelewi akirudi huelewi,yaani yule jamaa kama gari ikinunuliwa na ipo nyuma ya nyengine inabidi azitoe zote aitoe then azirudishe tena akaja kulala na mke wa boss mwenye yard.Hovyo kabisa
 
Unajua bwana wanawake sijui akili zao zipoje,huyo Juma atakuwa alipewa papa just kwa sababu ni fundi yaani mwanamke unaweza ukampa nyumba lakini akamvulia nguo fundi umeme mbadilisha bulb iliyoungua,miaka ya nyuma 2000s kipindi hicho naishi Mabibo Dar nilikuwa namfahamu dada mmoja mzuri kweli nurse Muhimbili alikuwa anakandwa na konda tena teja wa vi-Hiace daladala vya enzi hizo.

Huyo jamaa alikuwa rafiki wa bro nilishawahi kuwasikia ktk mazungumzo yao akimwambia “yule demu nasukuma ni mwenyewe tu amenielewa,siku ya kwanza kufahamiana aliniambia anapenda namna ninavyogonga gonga coin wakati nakusanya salio nikamchomekea wala hakusumbua” kwa tunaopanda daladala unajua ile konda akidai nauli yake anavyofanya,alikuja mpaka kumgeuza single mama.
Wanazimikaga na vitu vya ajabu
 
Aisee usishangae mwingeni akawa kazimika na harufu ya kikapwa Cha muokota makopo
 
Unajua bwana wanawake sijui akili zao zipoje,huyo Juma atakuwa alipewa papa just kwa sababu ni fundi yaani mwanamke unaweza ukampa nyumba lakini akamvulia nguo fundi umeme mbadilisha bulb iliyoungua,miaka ya nyuma 2000s kipindi hicho naishi Mabibo Dar nilikuwa namfahamu dada mmoja mzuri kweli nurse Muhimbili alikuwa anakandwa na konda tena teja wa vi-Hiace daladala vya enzi hizo.

Huyo jamaa alikuwa rafiki wa bro nilishawahi kuwasikia ktk mazungumzo yao akimwambia “yule demu nasukuma ni mwenyewe tu amenielewa,siku ya kwanza kufahamiana aliniambia anapenda namna ninavyogonga gonga coin wakati nakusanya salio nikamchomekea wala hakusumbua” kwa tunaopanda daladala unajua ile konda akidai nauli yake anavyofanya,alikuja mpaka kumgeuza single mama.

Anayemkumbuka Salim Chicago Matelephone kipindi akiwa na yard ya kuuza magari pale Town Clock Tower early 2000s jamaa alikuwa na mke mmoja mkali sana alimpa kila kitu namkumbuka kipindi hicho akitembelea Hilux Surf 4x4 but surprisingly alikuja kumpa maku driver anae-park magari pale yard,yaani yule jamaa kama gari ikinunuliwa na ipo nyuma ya nyengine inabidi azitoe zote aitoe then azirudishe tena akaja kulala na mke wa boss mwenye yard.
Alikudanganya.
 
Hilo swali la mwisho linaonyesha kuna wanawake ni kama wanaolewa ili wapate mtu wa kumlaumu kwa madhaifu yao.
Lawama alizotupiwa mwanaume mwenzetu asee!!!
Kumbe mchongo anaujua mwanzo mwisho kaambiwa mwanaume malaya sana wewe! nk.

Unakumbuka uzi wangu ulikuwa unasema WANAWAKE NDO CHANZO CHA WANAUME KUFA MAPEMA?

Huyu jamaa hata akioa hata kaa amuamini fundi au mwanamke tena maisha yake yote yatakuwa ya hofu sana.
Atakuwa na mawaza siku zote na anaonekana alikuwa anamkubali sana mke wake
 
Back
Top Bottom