Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Chochote unachofanya na mwanamke kutunza ushaidi ni muhimu sana, kwa sababu ikitokea mgogoro wowote kati yenu na mwanamke akakushtaki(hata kwa kukusingizia) basi moja kwa moja mwanaume unakua na hatia mpaka pale utakapoweza kuthibitisha kwamba haukufanya ilo kosa, sasa hapo kama hauna ushahidi wa kuthibitisha hauna hatia imekula kwakoNever trust them,wako wa kuaminiwa lakini sio wote,tumia akili kuishi nao.Hapo jamaa asingekuwa na ushaihidi angemgeuzia kibao kuwa yeye ndio kauleta...
Hapo kama jamaa angeupata kwa uyo dada halafu kesi ifike mahakamani basi mshkaji ndio angeambiwa kamuambukiza. Angekula kifungo au faini kubwa tu hapo.
Hata legend baltasar kwa kujua au kutokujua zile video zimemuokoa sana. Wanawake wote kwenye video wameonyesha ushirikiano lakini bila uwepo wa zile video angetokea mmoja pale angesema amembakwa na legend angetoboka hela nyingi sana.