Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

Lawama alizotupiwa mwanaume mwenzetu asee!!!
Kumbe mchongo anaujua mwanzo mwisho kaambiwa mwanaume malaya sana wewe! nk.

Unakumbuka uzi wangu ulikuwa unasema WANAWAKE NDO CHANZO CHA WANAUME KUFA MAPEMA?

Huyu jamaa hata akioa hata kaa amuamini fundi au mwanamke tena maisha yake yote yatakuwa ya hofu sana.
Atakuwa na mawaza siku zote na anaonekana alikuwa anamkubali sana mke wake
Hakika mkuu,

Kupitia hii scenario najua na ww umetoka na funzo hapo
 
Lawama alizotupiwa mwanaume mwenzetu asee!!!
Kumbe mchongo anaujua mwanzo mwisho kaambiwa mwanaume malaya sana wewe! nk.

Unakumbuka uzi wangu ulikuwa unasema WANAWAKE NDO CHANZO CHA WANAUME KUFA MAPEMA?

Huyu jamaa hata akioa hata kaa amuamini fundi au mwanamke tena maisha yake yote yatakuwa ya hofu sana.
Atakuwa na mawaza siku zote na anaonekana alikuwa anamkubali sana mke wake
Naukumbuka mkuu. Ila hapa Mwanamke kakutana na chuma. Hivi ndivyo wanaume tunapaswa kuwa. Unategemea lolote kutoka kwa mwanamke. Hii inasaidia sana kuona red alert. Ila ukiwa mshamba ukajifanya una mapenzi makali mno ndo unalishwa shahawa mkeo katoka kuzinywa kwa Juma wewe unakuja kuzilamba.
 
😂😂😂 Mambo ya shahawa tena
 
Hatari sana mkuu
 
😂😂😂 Mambo ya shahawa tena
Kama hivi boss:
Screenshot_20241026-165718_X.jpg
 
Kila kukicha wale wazee wa kataa ndoa, wanazidi kuonekana wapo sahihi na Nina uhakika wataendelea kuwa sahihi milele na milele
Kutokuoa hakukuepushi kufanyiwa hivyo vitendo na mwanamke. Hivi vitendo vinapatikana kwa wanawake malaya, awe mpenzi au mke, umemuoa au la.

Logic ya kutokuoa sababu ya hofu ya kugongewa kwangu haina mashiko maana mwanaume lazima uwe na mwanamke na mwanamke asiye na ndoa anagongwa sana tu tena kwa uhuru zaidi hivyo hujakwepa lolote iwapo unatembea na mwanamke malaya.

To me ndoa ni maadili ya Kiafrika, kutokuoa ni kuzalisha kizazi cha mbele kisicho na maadili.

Kinachotakiwa ni vita dhidi ya umalaya wa wanawake na sio vita dhidi ya ndoa. Wanaume wote tukiupinga umalaya wa wanawake tutashinda.
 
Kwamba eti mbona hukunambia mapema kwamba Juma ni Mgonjwa....!?
 
Back
Top Bottom