Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

Never trust them,wako wa kuaminiwa lakini sio wote,tumia akili kuishi nao.Hapo jamaa asingekuwa na ushaihidi angemgeuzia kibao kuwa yeye ndio kauleta...
Chochote unachofanya na mwanamke kutunza ushaidi ni muhimu sana, kwa sababu ikitokea mgogoro wowote kati yenu na mwanamke akakushtaki(hata kwa kukusingizia) basi moja kwa moja mwanaume unakua na hatia mpaka pale utakapoweza kuthibitisha kwamba haukufanya ilo kosa, sasa hapo kama hauna ushahidi wa kuthibitisha hauna hatia imekula kwako

Hapo kama jamaa angeupata kwa uyo dada halafu kesi ifike mahakamani basi mshkaji ndio angeambiwa kamuambukiza. Angekula kifungo au faini kubwa tu hapo.

Hata legend baltasar kwa kujua au kutokujua zile video zimemuokoa sana. Wanawake wote kwenye video wameonyesha ushirikiano lakini bila uwepo wa zile video angetokea mmoja pale angesema amembakwa na legend angetoboka hela nyingi sana.
 
Usijaribu kumheshimu wala kumuamini kiumbe anayeitwa mwanamke , wewe panga mambo yako jiheshimu, jipende wewe jipe kipaumbele kwanza and note otherwise,
Umetisha mzee,tujipende na tujipe vipaumbele kwanza.👊👊
 
Kosa kubwa sana ambalo wanaume tulilifanya na kupelekea anguko la ustawi wa jamii duniani kote ni kusikiliza na kukubali kufanya anachosema mwanamke kwa jina la usawa wa kijinsia.

Mwanamke hajui anataka nini, hana uwezo wa kufikiri kimantiki, hana msimamo, anafanya maamuzi kwa hisia, hawezi kujiongoza mwenyewe, hana maono. Hivi mtu kama uyo ni wa kumzingatia kweli?
 
Umenifanya nitafakari zaidi mkuu, hongera
 
Ukikosea kuruhusu namba ya juma ndani ya simu ya mkeo, tena ili hali unajua kuwa Juma ni muathirika
 
Sio wa kumzingatia kabisa, na kamwe biblia haiongopi, na ndio maana hata urithi wanapewa mwanaume na sio tofauti ( hii ni Siri kubwa sna inayofikirisha )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…