Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Acha kutudanganya hesabu Kali gani,hata wewe ungepewa uweka hazina wa CCM kwa 10 yrs kipindi cha Jakaya lazima ungetoboa tu.fedha zinahamishwa kutoka Serikalini kupeleka chamani.
duh kwaiyo unataka kunambia rostam kaanza kipindi cha jk are you sure?

unajua ana deals gani S. africa,zimbabwe,kenya,malawi,china,us.a nk?

issue ya ccm ni theluthi tu mkuu usilolijua huyo jamaa ndiyo coordinator mkubwa wa africa kibiashara na hata kijasusi na mengineyo mengi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Napenda unavyo defend. Hususan sie ambao hutaki wanasiasa watupigishe filimbi wengine wanaharakati uchwara na wasaka fursa lkn hili bado sio. Wewe unasema hakuna mkataba usioeleweka " hiyo ndio usahihi wenyewe" wee unaona . IGA inaposema bandari zote inamaanisha Dar port tu au na Kigoma?
Au ukomo ukoje?
Binafsi natamani Serkali iachie sehemu kama Bandari private sector ziopareti yenyewe ipate gawio na ushuru na stahiki zingine, lkn kwa kiwango gani?
Halafu FaizaFoxy hili la kusema wanataka tufaidike sisi liondoe kwenye hansadi hayupo mtu wa aina hiyo katika sayari na zingine labda Mungu tu ndio hutoa bure.
There is no Free lunch. Never ever.

Mwisho serkali itoke itete hoja hii hadharani waache ile janja ya kusema kesho mtu akiwa na hoja aje dodoma na mwisho saa fulani kwa swala la kitaifa, kwani tunawahi wapi? Ili watu wasichukuliwe na uhuni mwingine tatizo liko wapi? Kama tumeweza kupeleka wabunge 30 tunashindwa vipi kuteua siku kuongea hilo kwa uwazi na watu wakauliza maswali na taasisi zetu za sheria kama TLS zikiwakilisha.
Wasitumie watu kama RA ambao tayari wanasikendo za EPA na kampuni ya Kagoda. Watu wengine hata wanahabari wasiende au wakienda wawaukize zile skendo za zamani walizi clear vipi.
Kongole FaizaFoxy
 
Huo ndiyo ukweli, naawashangaa mna muono mfupi sana.

Hapo kwa DP World tukiharibu ni sisi wenyewe tu.
 
Mkuu maneno makali na mazito sana haya. Nahisi umeyaandika ukiwa na hisia nzito sana juu hili swala linaloendelea. We love our country Tanzania
 
Unejaribu kudadavua. Lakini acha uoga. Waarabu lazima tuwape fursa ili watuboreshee performance ya bandari iliyotushinda kwa miaka na mikaka. Umenielewa kojana?
 
Hilo la bandari zote kuziendeleza tukipenda kwa kuwa hatuna mkataba nao wowote wa kuendesha bandari yoyote mpaka sasa.IGA inakwisha mwezi wa 10 na mpaka sasa hakuna mkataba wa uendeshaji bandari uliosainiwa

Kigumu ni nini hapo kuelewa?
 
Mkuu maneno makali na mazito sana haya. Nahisi umeyaandika ukiwa na hisia nzito sana juu hili swala linaloendelea. We love our country Tanzania
Amekosa hoja, hakuna hoja ya IGA isiyojibika ndani ya vifungu vya IGA yenyewe. Sasa hasira zake, ndiyo anishambulia mimi. Mimi nikaendelea kumpa somo tu, la Hao watu anaowafikiria yeye kuwa ni wezi au majambazi.

Unajuwa mtu mwizi siku zote anaona watu wote wezi kama yeye.

Wafalme wa Dubai wameijenga nchi yao kwa biashara tu. Hakuna zaidi, mtu anaefanya biashara na dunia nzima leo akakudhulumu wewe Tanzania, ajiharibie jina lake lote alilojijengea kwa uaminifu kwa miaka yote, kwa lipi zaidi?

Hao sisi ndiyo tuliwafata, tunawahitajji wao zaidi kuliko wanavyotuhitaji. Wenyewe tumeshindwa, TICTS kashindwa,sasa hakuna ujanja , tuwape watuoneshe kazi za banadari zinavyofanywa.
 
Rostam hana skendo ya EPA wala Kigoda.

EPA ni biashara halai kwa walioifanya kihalai. Wale ambao walitia pesa ndani wakashitakiwa na kufikishwa mahakamani, Rostam hakuwa mmoja wao.


Kagida ni dili ambayo hata Bunge ikapigwa marufuku kuiongelea inahusisha Jeshi na UWT. Hakuna "skendo" la Rostam pale.
 
Ujinga ni kuona kitu kikipita kimepita. Unaona si hoja kwa sasa unaridhika kabisa.

Unahisi mkishapigwa na mkataba wa Bandari itachukua majuma mangapi kwa wewe kusema kwa sasa si hoja hii na utaanza kushadadia tukio lingine litakalojitokeza?

Ndio maana watu/viongozi hawaogopi kuwachezea watanzania. Wanajua ni ishu ya muda tu mtasema kwa sasa si hoja hiyo.....
 
Kwamba angeshindwa kukodi mtu kawa mmbuge miaka 20 ahindwe Lisa limoja kikufnya press
Hakuwa na wala Hana kitu huyu Mzee Muongo. Ndio maana sasa hivi anarudi kwenye siasa kidizaini, licha ya kuwa balozi + pesa alizohongwa na CCM + miaka 20 ubunge bado ni mweupe. Pesa za kuzipata kwa njia haramu hupotea kama upepo. Mwisho wake ni mbaya sana, kama CCM + akina Rostam (akiwaomba radhi) hawakumbosti tena.
 
Angalia ulichoandika
Uyu ni faiza anaetype au ID iko hacked🤨
Mimi nimemwelewa anasema hawezi kufanya tena sababu Kuna Siri nyuma ya pazia kubwa maybe alivompromise na watu fulani wakasema usirudie maybe....tungeijua hiyo Siri labda tungepata mwanga
 
[emoji122]
 
Una PhD ya wapi? Soma context. Acha kubishana na kivuli chako
 
Paragraph ya mwisho IMEELEWEKA vizuri.
" ni dili iliyohusisha jeshi, uwt na bunge lilipigwa marufuku kujadili" by FaizaFoxy voice.
Mi nakuelewa sana uko muwazi, kifupi upo upigwaji ambayo ukiujadili unaweza kuzuiwa na mihimili ya serkali, lkn haiondoi kuwa ni dili.
Matumizi mabaya ya ofisi na madaraka yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…