Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Tatizo hakuna mpinzani Wa kusimama imara Kwa hoja na kuwachichea vijana mpaka wapate jazba dhidi ya majambazi kama enzi za Mrema na NCCR Mageuzi ,Lipumba na CuF Ngangari, Dr. Slaa na maandamano kule Arusha ,Mwanza ,Mbeya n.k.

Wapinzani eti ni Akina Zito,Mbowe, n.k.

Wapinzani Wajipange upya, CCM hii ni Nyepesi kuliko CCM yoyote Tangu kuzaliwa mwaka 1977.
 
Mkuu kuitoa CCM madarakani bila nguvu ya Mungu ni vigumu! Kwa sasa CCM inashikiliwa na Mafisadi,Mafisadi wanalindwa na Vyombo vya ulinzi na usalama,Tume Ya Uchaguzi ni yao,kila kitu ni chao! Utaanzia wapi?
 
🤫
 
Sijui hii nchi itaendelea lini
 
Kwahiyo ni uongo Slaa hakuzingua kwa kuhongwa sababu ya matamaa yake ya madaraka?

Tokea huyu mzee atimkie CCM na kuukwaa ubalozi, hata sina hamu tena ya kumsikiliza. Hata ukiwa na njaa, lakini ile ilizidi. Press conf akafanya SERENA, ehhhh unajua bei ya ukumbi ule kwa saa?
Hiki kizee ni kichafu sana huku kikijifanya kuwa kisafi. Hapan, sio Slaa.
 
Rostam Ni agent wa Mossad, inawezekana na CIA kwani Malaya hachagui anayemkanyaga.
Jamaa anaijua Tanganyika inside out back to front. Mnakumbuka alishashika wadhifa mkubwa Sana CCM ?
Ukisikia CCM Ina wenyewe RA Ni Kati ya wale watano Bora.
Hivi udhibitisho wa hizi tuhuma japo kwa uchache zinaweza kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…