Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a point !! BUT unaamini 100% kwamba hakukuwa na umakini katika kuupitia MKATABA husika !!?? It's all about pure ILL MOTIVES !!! Wake up just in case you felt asleep !!!
 
"Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk.'

Hicho kipengele nilichokunukuu hapo juu, kinaonyesha ni kwa jinsi gani wewe huwajui wa Tz.

Kuna jambo gani la maslahi ya Taifa ambalo wananchi tulilipigania bila kutolewa nnje ya mstaari na hao mnaowaita "spin doctors"!!??
 
aisee kuna watu wapuuzi sana duniani,hivi unajua kupitia rostam watanzania wangapi wamepata ajira?
 
to be honest R.A is my role model nmekuwa nikimfatilia toka 2000s nikiwa secondary ana history ndefu mno na ni mtu wa mipango na anatumia hesabu kali mno na ngumu sana kukosa shabaha yake.
Wewe na yeye wote ni MADALALI sio mbaya mkipendana kabisa.

Dalali ni mtu mroho sana, anajiangalia yeye tu.
Yuko tayari biashara ya mtu isitoke kwa kupandisha bei mara mbili.

Mwizi ndiye role model wako, je wewe ni nani?
Jibu unalo, japo utakuja na matusi kama kawaida yako
 
Slaa unapakaza kijinga. Unafikiri utmgombanisha JK na Rostam? kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mimi ni analyst mzuri sana, huwa nipo na wenye haki siku zote.Sina sides.
Hapana, wewe sio mtu wa haki...bali umejificha ndani ya dini ya haki.

Nimegundua wewe ni mwanamke FISADI sana hasa vitendo vyako vya kutetea mafisadi yaliyojificha ndani ya dini ya haki.

Huwezi kuntetea Mkristo mtenda haki bali fisadi la Kiislam uko tayari kufa nalo.
Jitahidi uitendee haki dini yako kama ilivyo ya haki.
Sikuchukii hata kidogo bali nachukia UNAFIKI wako
 
Kwa kichwa Rostam ni kichwa kweli kweli lakini hiyo ya u CIA ni uongo mtupu. Na hiyo ya Kikwete ni fitna ya Slaa tu.


Kikwete, ndugu yao mamvi, Rostam ni dam dam wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…