John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.