Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Wanajitoa ufahamu kama vile hawauoni uwekezaji mkubwa dar 🤣
Tunauona mkuu ila kwa mazingira ya Dom ya miaka 10 iliyopita hahahaaa hata sisi tunajiona tumekuwa "KARBU NA DAR" kwa maendeleo!
 
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.

Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.

Nyege nyine bhana,.. sa mzunguko hapo uko api!?
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...

Hio DAR unayozungumzia itapitwa na Dodoma miaka 5 ijayo ni Dar es Salaam au ni Dareda..
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Sahau hiyo haitawekana kabisaaaa
 
Ramani ya ubungo kilicho badilika ni kitu kimoja tu kidogo na hakija athiri ufanisi na malengo ya mradi,

Nacho ni katika original plan njia ya mabasi ta mwendo kasi ilikuwa inapita chini groundlevel, halafu wale wanao kata kona (mfano atokaye kimara kwenda buguruni, au wa buguruni aende manzese) ambao wanapita chini sasa walipaswa wapite katikati, yani kati wanakopita watu wa kutoka mwenge kwenda buguruni, na wa mwenge kwenda buguruni walipaswa wawe ndio wanapita juu usawa wa ipitapo mwendo kasi sasa

Ni rahisi kuona kwa nini mchoro ukabadilishwa, nadhani kuwa ile flow ya magari ya chini ingebaki kupita kati ingekuwa gharama kubwa zaidi na manguzo mengi zaidi. Nafikiri ni suala la kupitia gharama za mradi upya wakabaini kuwa wanaweza kusave gharama bila kuathiri ufanisi wa flyover yenyewe
Asante Kwa ufafanuzi
 
Hongera Madame President kwa kuona umuhimu wa kuendeleza makao makuu ya chi
 
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.

Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.

Wala sio nzuri ...
 
Kikubwa katika tawala wake eneo la ujenZi isitokeze kampuni Kama mayanga
 
Bila kuwa na bahari haitawezekana kuipiku Dar,bahari ni kivituo cha asili ambacho Jiji la Dar limejaliwa nacho.kwa upande wa majengo labda Karne zipite ndipo Dar itapikuliwa kwa hivi karibuni ni ndoto za mchana.
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Hizo ni ndoto, tambua kuwa watu wanaenda Dodoma kwa lazima ambao hawalazimishwi ni % ndogo sana
 
Wagogo wenyewe tu wanakukimbia dodoma,wanakuja kuomba dar,
Story za kujifariji yaani zilipendwa.

Dom City skyline šŸ‘‡

najelbuilders_1644700060814_7.jpg

najelbuilders_1644700060768_3.jpg

najelbuilders_1644700060754_1.jpg

najelbuilders_1644700060759_2.jpg

najelbuilders_1644700060780_4.jpg

najelbuilders_1644700060825_8.jpg

najelbuilders_1644700060793_5.jpg

najelbuilders_1644700060828_9.jpg
 
Back
Top Bottom