Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Watu wa dodoma mnalinganisha dar na dodoma kwa vumbi lile haiwezi kufanana na dar hata siku moja sio dodoma tu east Africa hao viongozi wako wakimaliza vikao tu basi wanarudi dar hawana namna tu ila serikali kuhamishwa dodoma hawakukubaliana nacho ondoeni lile vumbi kwanza hujui mjini wapi wala porini wapi.
 
acha wivu vumbi ni asili ya mwanadamu wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi njoo na hoja zenye nguvu kutetea hoja

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Haya Mambo ya Jiwe la Msingi la Kuzindua Miradi bado yanaendelea ? Si wangesubiri kuweka Majiwe ya Msingi ya Kufungua Miradi ?

For all we know miaka ya baadae huenda ujenzi ukasimama kwa kukosa Crane....
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Mkuu jiji halijengwi na kukua na serikali bali biashara, ajira na mzunguko wa fedha, je Dodoma itaiweza Dar kwa viegezo hivyo?
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...we utakuwa
We utakuwa mzigua wa Dihangala au Mngoni wa Lituhi au Mgogo wa Msunjilile au mmakonde wa Likulombe juu au Sukumagang wa Kolomije au Mchaga wa Kishumundu.
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Acha kuchekesha basi?
Dar ipi?
Kawe- goba au?
Hata mwanza kuifikia ni bado saana
 
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.

Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.

Barabara ya kawaida kabisa ila kwadodoma mtaona nikitu cha ajabu
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Kwa hiyo vile Dar ilionekana 2016 ndo Dodoma inaonekana 2022 hii? Acha utani mkuu pengine hujui miaka mitano inafananaje!
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Iipite mara ngapi mkuu,huko Dar ni madaraja tuu ndio wanalingia.

Hadi dkk hii nakwambia .Dodoma CC ina mtandao mrefu wa barabara kuliko Mji wowote hapa Tanzania.

Hii Takwimu bado hizi za AfDB,pia kuna km 48 zaidi zinajengwa ukiacha za Mji wa serikali.
 
Watu wa dodoma mnalinganisha dar na dodoma kwa vumbi lile haiwezi kufanana na dar hata siku moja sio dodoma tu east Africa hao viongozi wako wakimaliza vikao tu basi wanarudi dar hawana namna tu ila serikali kuhamishwa dodoma hawakukubaliana nacho ondoeni lile vumbi kwanza hujui mjini wapi wala porini wapi.
Bakieni huko huko na Jiji lenu la hovyo,linanuka kila sehemu,mumerundikana kama mang'ombe zizini,kila sehemu ni uswazi,mafoleni ya kipuuzi kila sehemu yaani kiufupi kuishi Dar ni mateso..

Si bora hayo mavumbi ya Dom.
 
Mkuu jiji halijengwi na kukua na serikali bali biashara, ajira na mzunguko wa fedha, je Dodoma itaiweza Dar kwa viegezo hivyo?
Huu ujinga kamdanganye Mkeo.Hiyo Dar miaka nenda Rudi imekuwa inajengwa na Serikalini ndio investors wakamiminika kwa sababu ya miundombinu favourable..

Sasa tunavyofungua miundombinu elsewhere tunapunguza role ya Dar.Kwa mfano Mimi siwezi kufikiria kuwekeza Dar nikaacha Dom wakati naona mambo mazuri yanafanyika Dom kuliko Dar.
 
Back
Top Bottom