Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Hizo ni ndoto, tambua kuwa watu wanaenda Dodoma kwa lazima ambao hawalazimishwi ni % ndogo sana
Story za kujifariji hizi.

Tazama videos hapa chini,Hawa nao wamelazimishwa? 😁😁👇
 

Attachments

  • 3107294-02c191a6672587431eabca9fcc758ba3.mp4
    1.9 MB
  • 3085097-972aeef53bd8e447b54fef7831462e5e.mp4
    8.6 MB
  • Dodoma street video.mp4
    6.4 MB
Bila kuwa na bahari haitawezekana kuipiku Dar,bahari ni kivituo cha asili ambacho Jiji la Dar limejaliwa nacho.kwa upande wa majengo labda Karne zipite ndipo Dar itapikuliwa kwa hivi karibuni ni ndoto za mchana.
Aliyekwambia Serikali inaweka miundombinu Dom Ili iipiku Dar ni nani?

Ila ukweli ulioko ni kwamba Dodoma haitakuwa na uswazi kama Dar.

Dom haitakuwa na mauchafu na kunuka kama Dar.

Dom haiwezi kuwa na usafiri wa umma wa kipuuzi kama Dar.

Dom inawekwa miundombinu na huduma za kisasa kuliko Dar.

Na mwisho quality ya maisha Dom ni nzuri kuliko Dar.
 
Weeeh, ile ya mwanzo ilikua tamu bhana. Ilikua interchange siyo flyover kama ilivyo sasa.
Sema tumepigwa mzee baba
Mmezoea mavitu feki feki complicated ndio mnapigwa bila kujijua. Pale kimewekwa kitu functional, less complicated ila kinafanya kazi Ile ile ambayo yale manyoka yalieababisha yangefamya
 
Mmezoea mavitu feki feki complicated ndio mnapigwa bila kujijua. Pale kimewekwa kitu functional, less complicated ila kinafanya kazi Ile ile ambayo yale manyoka yalieababisha yangefamya
Jamaa unatetea hata upuuzi.Hii ndio functional? 😁😁😁

A8C8FFB0-5C18-4F73-B342-952D60E16394.jpeg


BEF7CE1F-8C48-47B1-BD72-7C5A6C118149.jpeg
 
Back
Top Bottom