Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Aliyebadilisha alikuwa ni Magufuli, sijui lengo lilikuwa niniNa iwe hivyo sio kama pale Ubungo rama i ilikuwa nzuri ghafla tu ikabadilishwa hewani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyebadilisha alikuwa ni Magufuli, sijui lengo lilikuwa niniNa iwe hivyo sio kama pale Ubungo rama i ilikuwa nzuri ghafla tu ikabadilishwa hewani
Story za kujifariji hizi.Hizo ni ndoto, tambua kuwa watu wanaenda Dodoma kwa lazima ambao hawalazimishwi ni % ndogo sana
Dom ndio Jiji la kisasa na decent kuishi,uchafu na tabu za Dar kamwe hazitakuja kutokea Dom.
Kuipita Dar ni ngumu ila mpaka sasa inafata ikitoka DarSasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Aliyekwambia Serikali inaweka miundombinu Dom Ili iipiku Dar ni nani?Bila kuwa na bahari haitawezekana kuipiku Dar,bahari ni kivituo cha asili ambacho Jiji la Dar limejaliwa nacho.kwa upande wa majengo labda Karne zipite ndipo Dar itapikuliwa kwa hivi karibuni ni ndoto za mchana.
Lengo ni kuweka kitu functional yaani kitu kinachofanya kazi ile ile ambayo kitu expensive na complicated kingefanya. Na matokeo wote tumeyaona.
Kongwa kwa Job NdugaiDodoma barabara za kasi..kasi ya kuelekea wapi..?
Hivi pale Mbezi kuna project ipi inaendelea ?Mkuu jiji halijengwi na kukua na serikali bali biashara, ajira na mzunguko wa fedha, je Dodoma itaiweza Dar kwa viegezo hivyo?
Mmezoea mavitu feki feki complicated ndio mnapigwa bila kujijua. Pale kimewekwa kitu functional, less complicated ila kinafanya kazi Ile ile ambayo yale manyoka yalieababisha yangefamyaWeeeh, ile ya mwanzo ilikua tamu bhana. Ilikua interchange siyo flyover kama ilivyo sasa.
Sema tumepigwa mzee baba
Hahaha kwanini mkuu?Kikubwa katika tawala wake eneo la ujenZi isitokeze kampuni Kama mayanga
Kama nyie mlivyoona lile la mufugale kitu cha ajaaaabuBarabara ya kawaida kabisa ila kwadodoma mtaona nikitu cha ajabu
Jamaa unatetea hata upuuzi.Hii ndio functional? 😁😁😁Mmezoea mavitu feki feki complicated ndio mnapigwa bila kujijua. Pale kimewekwa kitu functional, less complicated ila kinafanya kazi Ile ile ambayo yale manyoka yalieababisha yangefamya
Wivu unawasumbua, 😀😀😀😃.Kama nyie mlivyoona lile la mufugale kitu cha ajaaaabu
😆😆😆😆 WIVU UNAWAHANGAISHAWivu unawasumbua, 😀😀😀😃.
Dar wamebakia kulingia madaraja
Siunajua mabingwa wa mipango wasije mwingiza bibiyetu mamayetu kwenye mitego yakujinufaisha atengeneze kampuni ,. Mayanga construction unaifahamu ,ndoleo tunajiuliza ilikuaje waziri wa ulinzi aingie bungeni safarilager zimejaa kichwani na nisiku anajibu maswali yawatu