John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Kuipiku dar kwa kigwzo kipi labda?Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Haiwezekani kwa muda ulioweka, labda miaka 50+.Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Ungetulia Kidogo kisha UkaandikaMwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo limeacha ambalo litahusisha usafiri wa mabayo yaendayo kazi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.
Ramani ya ubungo kilicho badilika ni kitu kimoja tu kidogo na hakija athiri ufanisi na malengo ya mradi,Na iwe hivyo sio kama pale Ubungo rama i ilikuwa nzuri ghafla tu ikabadilishwa hewani
Amazing.Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.
Sure, maana Dar nayo haijasimama.Haiwezekani kwa muda ulioweka, labda miaka 50+.
Unaota wewe ...Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo litahusisha usafiri wa mabasi yaendayo kasi miaka ya baadaye mara baada ya ujenzi wa barabara hiyo kukamilika.
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
mwenda zake alitukatili sanaya Ubungo version 1 ilikua 'mithili ya ivyo'
Wachawi washindwe na walegee...Dodoma lazima iwe ndio Capital CityMwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais