Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Kwa hiyo hii ndiyo ring road??
 
Acha kuchekesha basi?
Dar ipi?
Kawe- goba au?
Hata mwanza kuifikia ni bado saana
Kwa sasa Dom,inashindana na Ilala(Dar CC) na Kinondoni tuu na sio takataka zingine.
Unlesa una matatizo makubwa Sana,kama bado kuifikia mdomoni mwako.sawa ila kwenye uhalisia mambo yako hivi 👇

 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Acha kufananisha Dar na vitu vya kijinga
 
Weeeh, ile ya mwanzo ilikua tamu bhana. Ilikua interchange siyo flyover kama ilivyo sasa.
Sema tumepigwa mzee baba
 
Alisikika pasko mayala akiota ndoto za teuzi
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar
 
Alisikika pasko mayala akiota ndoto za teuzi
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar
 
Dar ni kama maji, usipoyanywa basi utayaoga. Dar ndio inasukuma uchumi wa nchi saba kupitia bandari yake; kuanzia Tz, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia na Malawi zote zinategemea Dar. Bila uwepo wa Dar maisha ya wanachi wa hizo nchi saba yatateleka vibaya sana.
 
Na kulivyo Pauka huko dom pako ovyo dar ni level nyingine usifananish na mambo ya kishamba
 
Mara zote CGI uwa zinavutia kuliko uhalisia
 
Siasa hizi umeokota mchoro huko. Mbona mchoro wenyewe unaonesha ni left hand driving.. wakati bongo ni right hand driving
 
JPM, you were a rare gem! Rest well Sir!
 
Kwa sasa Dom,inashindana na Ilala(Dar CC) na Kinondoni tuu na sio takataka zingine.
Unlesa una matatizo makubwa Sana,kama bado kuifikia mdomoni mwako.sawa ila kwenye uhalisia mambo yako hivi [emoji116]

View attachment 2115196
Mapato ya dodoma yanatoka wapi!
Kuuza kivanja?
Dodoma kuna manufacturing industry gani?!
Dodoma hata kwa mwanza baado saana
 
Wagogo wenyewe tu wanakukimbia dodoma,wanakuja kuomba dar,
 
Mkuu jiji halijengwi na kukua na serikali bali biashara, ajira na mzunguko wa fedha, je Dodoma itaiweza Dar kwa viegezo hivyo?
Njoo Dom huku kumeanza kuwa kitovu cha biashara mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…