Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

Wanajitoa ufahamu kama vile hawauoni uwekezaji mkubwa dar 🤣
Tunauona mkuu ila kwa mazingira ya Dom ya miaka 10 iliyopita hahahaaa hata sisi tunajiona tumekuwa "KARBU NA DAR" kwa maendeleo!
 
Nyege nyine bhana,.. sa mzunguko hapo uko api!?
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...

Hio DAR unayozungumzia itapitwa na Dodoma miaka 5 ijayo ni Dar es Salaam au ni Dareda..
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Sahau hiyo haitawekana kabisaaaa
 
Asante Kwa ufafanuzi
 
Hongera Madame President kwa kuona umuhimu wa kuendeleza makao makuu ya chi
 
Wala sio nzuri ...
 
Kikubwa katika tawala wake eneo la ujenZi isitokeze kampuni Kama mayanga
 
Bila kuwa na bahari haitawezekana kuipiku Dar,bahari ni kivituo cha asili ambacho Jiji la Dar limejaliwa nacho.kwa upande wa majengo labda Karne zipite ndipo Dar itapikuliwa kwa hivi karibuni ni ndoto za mchana.
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
 
Sasa tukisema baada ya Miaka mitano Dodoma itaipita Dar; kuna watu bado wanabisha humu JF......Kwa uwekezaji huu (Mabarabara, Majengo ya serikali); Dodoma lazima itaipiku Dar...
Hizo ni ndoto, tambua kuwa watu wanaenda Dodoma kwa lazima ambao hawalazimishwi ni % ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…