Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

Picha ya Chini Motorola L6
Picha ya Juu Galaxy S25 Ultra
Mleta uzi anashindwa kutambua tofauti hizo ndogo kabisa juu ya uwezo wa camera, achilia mbali ukwasi alionao.

Pesa inatakatisha aloo, huu weusi wetu wengine ni jua na kuoga maji kopo tatu, mafuta babycare.
 
Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali.

Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais Trump, na chama cha Democrats, ambacho viongozi wake wa zamani ni pamoja na Obama na Biden (Kamala Harris alishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu).

Wafuasi wengi wa chama cha Democrats, hasa wale wa mrengo mkali, huwa na mtazamo kwamba karibu kila jambo la kijamii linapaswa kutazamwa kupitia rangi ya ngozi ya mtu. hata kazi wanatoa kwa kigezo cha rangi ya ngozi hata kama hawana sifa kamili.

Katika muktadha huo, waliona mafanikio ya tangazo hilo kama kuendeleza hadithi za eugenics, wazo la kwamba uzuri au ubora unahusishwa na sifa za mtu kuwa mzungu (kama ngozi nyeupe, macho ya bluu, nywele za dhahabu).

View attachment 3435347

Ndani ya muda mchache Beyonce akapewa tangazo na kampuni ya Levis kujibu, wamemtumia Beyonce kwa kigezo cha kuwa black american lakini anajichubua awe mweupe kama mzungu, Nywele zake sio natural na zina rangi kama za wazungu, Ni mambo ya ajabu sana.

View attachment 3435192

Hizi ni picha za Beyonce zikionesha ngozi yake ya asili

View attachment 3435196

View attachment 3435391
 
Attachments

  • Screenshot_20250807-225925_Google.jpg
    Screenshot_20250807-225925_Google.jpg
    226.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20250718-155933_YouTube Lite.jpg
    Screenshot_20250718-155933_YouTube Lite.jpg
    74.3 KB · Views: 18
Black Americans wengi ni watu wa ajabu sana, wanapinga sana white culture lakini wanataka kuwa white, kwanini wasiridhike na rangi zao, nyele zao natural, ?

Alianza kupiga picha mzungu anaitwa Sweeney kwajili ya tangazo la American Eagle, Tangazo limefanya vizuri sana, kama kawaida vichaa wengi wa upande wa chama cha Democrats ambao kwao kila kitu ni race hawakupenda kuona mzungu kashika headlines wakaanza kulia lia white supremacy.

View attachment 3435333

Ndani ya muda mchache Beyonce akapewa tangazo na kampuni ya Levis kujibu, wamemtumia Beyonce kwa kigezo cha kuwa black womab lakini pocha picha kwenye tangazo alivyo hana tofauti sana na mzungu, kajichubua na kuweka make up awe mweupe kama mzungu, Nywele kazitia dawa ziwe kama za mzungu,

View attachment 3435340

View attachment 3435328
Kwanza African Americans wako wengi tofauti kwa hiyo usiwaweke kwenye kundi moja.

Kufanya hivyo ni kukosa nuance.
 
Wanaume ndio wanaoongoza kwa UMBEA...

Wanawake sasa wanatafuta pesa...
Haki sawa. Tafuteni pesa mlipie watoto ada, mlipe mkodi chenji mtupe tukalewe bar. Na mkae mkijua ujenzi unawasubiria na mkishajenga mtujaze kwenye kadi kama warithi. 😂😂😂 Haki sawa, wanawake wakiwezeshwa wanawezaaaaaaaaaaaah
 
Ukishaanza kujichubua means hujikubali, alichomaanisha mleta hoja ni kwamba bee kamjibu mdada wa kwanza kwa kujifananisha.

Akaongezea ila alichozingua bee ni kaweka nywele katika hali ya uzungu ( inawezekana kibiashara ilikuwa hivyo ), ila alichosisitiza ni kuwa hajikubali.

N.b hajavunja sheria kujichubua.
Kuwa mweupe au mweusi ngozi hakuna uhusiano wowote na racial classification ya kuwa mweusi.

Na hiyo rangi kujibadilisha ni haki yake ya kibinadamu, hata angetaka kujibadilisha sura ni haki yake.

Michael Jackson alijichonga mpaka pua.

Mwaka 1988 baba yangu alirudi safari na CD ya Michael Jackson ya "BAD". Nyumbani tulikuwa tunabidhana tunasema huyu ni Michael Jackson wa kweli au wa Wachina kamuiga? Kwa sababu alikuwa mweupe sana.

Lakini alikuwa Michael Jackson bado.

Ni sehemu ya uhuru wa kujieleza hata wewe ukitaka unaweza.

Tatizo ni lip
 
Kwanza African Americans wako wengi tofauti kwa hiyo usiwaweke kwenye kundi moja.

Kufanya hivyo ni kukosa nuance.
1754610216538.png

Tunarudi kule kule,

Kuna haja gani ya kujichubua wawe weupe kama wazungu kama wanajiamni ni wazuri ? Kuna haja gani ya kuvaa wigs au ku style nywele ziwe kama za wazungu kama wanajiamini they are naturally beautiful ?
 
Oh i see, so Eminem's been a black rapper this whole time and nobody told us?

View attachment 3435460
Kama umeelewa concepts ya culture itakusaidia Sana .

Hatkuiti mzungu au mweusi kwa kuangalia ngozi yako na nywele pekee .

Kwani haujawaona wazungu wenye tabia za kiswahili na kuwaona waswahili wenye tabia za kizungu .

Kujichubua
Kuvaa mawigi
N.k

Yote haya hayana uhusiano na kuukataa uafrica na kuukubali uzungu kwakuwa kujichubua na kuvaa mawingi ni mambo ya MTU binafsi .
 
Hata mzungu acheze mdundiko wa wazaramo, awe anakunywa ulanzi wa wahehe, aongee kiswahili, n.k. bado ataitwa mzungu tu.

Mpoki abadili rangi ya nywele ziwe za kizungu, aongee fluent english, awe vegeterian, n.k. bado ni muafrika tu.

Ukitaka kujua hilo fuatilia jela za Marekani ni mfano mzuri sana, Una roll na wenzako kwa kigezo cha rangi, kuna kundi la wazungu, wahispania na mablaki, wengine waliobaki wanekusanyika kwenye kundi lao linaitwa the others na huwa wachache.

Kama ni mambo ya culture kwanini mtu mweupe asimsalimie mweusi TSUP MY NIGGAH, hata kama anafuata black culture ?
 
Ukishaanza kujichubua means hujikubali, alichomaanisha mleta hoja ni kwamba bee kamjibu mdada wa kwanza kwa kujifananisha.

Akaongezea ila alichozingua bee ni kaweka nywele katika hali ya uzungu ( inawezekana kibiashara ilikuwa hivyo ), ila alichosisitiza ni kuwa hajikubali.

N.b hajavunja sheria kujichubua.
Akijikubali, asipojikubali ni haki yake kuwa vyovyote anavyotaka yeye.

Yani kutojikubali na kuamua kujibadilisha ni haki yake pia.

Kwani asipojikubali akajibadilisha wewe inakuuma nini?
 
View attachment 3435459

Tunarudi kule kule,

Kuna haja gani ya kujichubua wawe weupe kama wazungu kama wanajiamni ni wazuri ? Kuna haja gani ya kuvaa wigs au ku style nywele ziwe kama za wazungu kama wanajiamini they are naturally beautiful ?
Kujichubua kama wanajichubua ni haki yao.

Kwani wamekuchubua wewe?

Tatizo lako nini mtu akiamua kujichubua yeye mwenyewe kwa uhuru wake?

Mkuu, unakasirika Beyonce kajichubua wakati Beyonce mwenyewe hata hajui kwamba dunia hii wewe upo?
 
Hata mzungu acheze mdundiko wa wazaramo, awe anakunywa ulanzi wa wahehe, aongee kiswahili, n.k. bado ataitwa mzungu tu.

Mpoki abadili rangi ya nywele ziwe za kizungu, aongee fluent english, awe vegeterian, n.k. bado ni muafrika tu.

Ukitaka kujua hilo fuatilia jela za Marekani ni mfano mzuri sana, Una roll na wenzako kwa kigezo cha rangi, kuna kundi la wazungu, wahispania na mablaki, wengine waliobaki wanekusanyika kwenye kundi lao linaitwa the others na huwa wachache.

Kama ni mambo ya culture kwanini mtu mweupe asimsalimie mweusi TSUP MY NIGGAH, hata kama anafuata black culture ?
Rudia kusoma nilichoandika , tamaduni za watu ndo msingi mkubwa kuliko ngozi na nywele .
 
Hapo ndio anavyopenda kuongelewa ni Kama Diamond huku, sasa macho yanahamia kwake tangazo lishaenda mjin btw kuna video The day Beyonce turned black it’s funny
 
Akijikubali, asipojikubali ni haki yake kuwa vyovyote anavyotaka yeye.

Yani kutojikubali na kuamua kujibadilisha ni haki yake pia.

Kwani asipojikubali akajibadilisha wewe inakuuma nini?
Ni haki yake ila hajikubali.
 
Back
Top Bottom