Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

Ni kawaida kwa weusi kwenye jamii ya wazungu mcheki Michael Jackson
 
Point is kwanini mtu mweusi asiridhike na rangi yake mpaka aji glow kuwa mweupe ?

Kwanini asiridhike na nywele zake mpaka avae mawigi, kubadili rangi ziwe kama za mzungu, n.k.
Kwa sababu ni haki yake kuwa vyovyote anavyotaka.

Kwa nini unaingia katika maisha ya mtu baki usiyemjua, asiyekujua, unauliza kwa nini?

Unafahamu hata weupe wengi hawaridhiki na rangi yao, wanajianika kwenye jua kupata sun tan weupe upungue?
 
Ukishaanza kujichubua means hujikubali, alichomaanisha mleta hoja ni kwamba bee kamjibu mdada wa kwanza kwa kujifananisha.

Akaongezea ila alichozingua bee ni kaweka nywele katika hali ya uzungu ( inawezekana kibiashara ilikuwa hivyo ), ila alichosisitiza ni kuwa hajikubali.

N.b hajavunja sheria kujichubua.
Mtu ana haki ya kutojikubali alivyo na kujibadilisha awe anavyotaka.

Akifanya hivyo wewe tatizo lako nini?

Mwili wake, pesa zake, hajakulazimisha kitu wewe.

Hata hakujui, wewe humjui.

Tatizo lako nini?

Kwa nini unajioa umuhimu usio nao kwenye maisha ya mtu ambaye hakujui na wewe humjui, hatumii pesa zako, anaishi maisha yake anabyotaka, wewe unatokwa povu.

Kwa nini?
 
Ila uchi huwa haubadiliki rangi, utabakia vile vile kama ni black utabakia black tu, upande ngozi anaweza jibadili, ila voda, tigo, kwapa, zitabakia za asili
 
Ukweli ni kwamba hamna mwanamke mwemye pesa mweusi🤣
 
Yeye kutojikubali ni haki yake. Wewe hata hajui kama upo dunia hii.

Kwa nini unapoteza muda wako kujali anajikubali au hajikubali?

Wewe umekubali kwamba hakujui wala kujali unavyofikiri?
Sijasema namjua ila mleta mada kasema hajikubali huyo bee, na kweli hajikubali.
 
S

Ijaingilia nimeandika. Tofautisha
Umeingilia uhuru wa mtu binafsi kuishi anavyotaka na kuanza kumhukumu mitandaoni na kuhoji maamuzi yake kwa minajili ya kwamba hatakiwi kuwa anavyotaka yeye, bali unavyotaka wewe awe.
 
Mi nimechangia
Umeingilia uhuru wa mtu binafsi kuishi anavyotaka na kuanza kumhukumu mitandaoni na kuhoji maamuzi yake kwa minajili ya kwamba hatakiwi kuwa anavyotaka yeye, bali unavyotaka wewe awe.
Mada iliyopo mezani. Imeandika ule u-Afrika wake kwanini usingebaki kama alivyo kwann aweke nywele zile.

Hajikubali hili nimehakikisha kupitia mada ya jamaa
 
Mi nimechangia

Mada iliyopo mezani. Imeandika ule u-Afrika wake kwanini usingebaki kama alivyo kwann aweke nywele zile.

Hajikubali hili nimehakikisha kupitia mada ya jamaa
Kwa nini unajiona wewe una haki ya kumpangia Beyonce aonekane vipi?
 
Back
Top Bottom