Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Wasukuma for years wamekua wakitoa ng'ombe wengi sana kwa wanawake WEUPEPoint is kwanini mtu mweusi asiridhike na rangi yake mpaka aji glow kuwa mweupe ?
Kwanini asiridhike na nywele zake mpaka avae mawigi, kubadili rangi ziwe kama za mzungu, n.k.
SWALA LA WEUPE NA UZURII NI SWALA MTAMBUKA ILA ALL IN ALL WATU WENGI HATA HAPA NYUMBANI TANZANIA TUNAPENDELEA WANAWAKE WEUPE IN DEED MIMI MKE WANGU NI MWEUSI MIMI NDIE MWEUPE
SO TUMEZAA WATOTO WEUPE