Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

wataalam wa masuala ya afya wanasema ngono inampa mtu raha kias cha DOPE 80-120 UNITS sasa madawa yanampa dope kias cha unit 1200 plus plus so ndo mana kuacha madawa ni shida mana ni matam na yanaburudisha nerves mara kumi zaid ya papuchi..kama umenote mateja wengi si watu wa madem sana

Eti wataalamu wa Masuala ya Afya!!! Sema Sales Officers wa Ngada wanasema .....! We unajua Raha na ladha halisi ya ****? We unadhani Madawa ya kulevya yangesababisha Adam Atende dhambi? Mwenyezimungu ni Fundi kweli kweli aliweka jambo mtu kama Bakhresa na Hayati Matonya wanafikia Climac na ku enjoy sawa.
 
Ha ha Pohamba si lazima kitu ukijaribu ndo ukijue.maarifa yanapatkana kwa njia nyingi.kwa taarifa yako wataalam wa masuala ya afya ndo wanajua kilichomo katika nganda kuliko hao wauzaji.na hata baadhi ya madawa hutumika hospitalini kwa shughuli za kitabibu ila syo kwa rate inayotumiwa na wala nganda.na hili utasema hujui?? Au una elimu ya hapa na pale ndugu?
 
Atafute biashara nyingine, kwa hali hiyo promoter gani wa kumpa show?!
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Ha ha Pohamba si lazima kitu ukijaribu ndo ukijue.maarifa yanapatkana kwa njia nyingi.kwa taarifa yako wataalam wa masuala ya afya ndo wanajua kilichomo katika nganda kuliko hao wauzaji.na hata baadhi ya madawa hutumika hospitalini kwa shughuli za kitabibu ila syo kwa rate inayotumiwa na wala nganda.na hili utasema hujui?? Au una elimu ya hapa na pale ndugu?

We utakuwa utamu wa **** unaosoma kwny Google!
 
Huwa napendaga kusema hivi na ntarudia kusema
Usimcheke au kumdharau mtu yoyote aliyekuwa ni muathirika wa utumiaji wa madawa!
Mtu yoyote unaweza kujikuta umeingiaa ktk mkumboo huko....wa kuitumia madawa
Ikitokea nafasi ya kumsaidia mtumiaji we msaidie....
 
mh anatia huruma..
yapasa afanyiwe maombi..
Ray C nasikia nae karudia tena..
tunaweza kuwapoteza kama Witney na Brenda..
 
Tuombee watoto wetu
Cna comment
Ila inatia huruma
 
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.

Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa.


“Matatizo yangu na stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu unapungua kwasababu siko okay, siko poa, siko sawa yaani,” alisema.

Katika hatua nyingine Chidi alisema pamoja na afya yake kuzorota, hivi karibuni alipiga show kwa masaa mawili hadi mama yake akalia.

“Mama yangu akaniambia mwanangu unafanya show two hours, show kali watu wanapenda unachokifanya lakini sioni mwamko wa watu kutokea kukusaidia, kwahiyo tufanye mpango watu wakusaidie’ na mimi namuambia nataka watu wanisaidie, natamani kusaidiwa, natamani kupata mafanikio anayopata Diamond,” alisisitiza.
View attachment 330955

Hujafa hujaumbika. Pole sana. Tambua kuwa jibu la kweli kwa matatizo yako unayo wewe. Ukiamua kuamka na kusonga mbele utaweza ila ni hatua moja baada ya nyingine. As much as it may be close to imposible, just wake up and take the first step. The rest will follow more easily.
 
Mi huwa nashangaa sana..sasa wanapotumia haya madude huwa hawafikirii mbele iyakuwaje..
 
Back
Top Bottom