Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kutoboa puaNaomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoboa puaNaomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?
Nani anafuatia
1. TID
2. Lamar
3. Young D na demu wake Tunda
4. Ben Pol
5. ...., list iendeler
Sasa mkuu unataka aambiwe vipi?kwani huoni hayo ni matatizo ya kujitakia?Mkuu umesahau
mtu si mbwa.
Mkuu huyu ni unga ndiyo umemfanya hvy sasa unataka aombewe ili iweje?teja hiyo ndiyo malipo yake acha apotee tu!Duh mimi si mpenzi wa bongo music hata kidogo lakini nimeumia sana kuona hiyo picha kwani mwaka Jana Chid Benz alifanya show Kakola Kahama akiwa na mwili wenye afya kabisa!! Sasa masikitiko yangu ni watu hapa jamii forum wanavyomtukuna maskini wa mungu anayeomba msaada hata wa kimawazo tu kwa Watanzania na wasamaria wema. Duh Watanzania roho mbaya hadi wengine wamegusia kuwa alikuwa anamtukana Lowassa!!! Mimi mwenyewe nilikuwa team lowassa na hadi leo namkubali mzee lkn chuki za kwenye siasa siwezi kuzileta kwa mtu anayehitaji msaada. Duh Tanzania nchi niliyoaminishwa ina watu wenye mioyo mizuri lkn kwa sasa hawana tofauti na Mazombi ya Shein Zanzibar. Chid Benzi nakuombea kwa mungu kuanzia leo katika kipindi hiki cha Kwaresma taweka sala maalumu kwa ajili yako. Nakupenda kama kaka na kama mwana mpotevu ambaye umekumbuka makosa yako na kurudi kuomba msamaha kwa Watanzania wakusaidie ila bahati mbaya wengi washakuwa kama kundi la ISIS kwa mioyo ya kishetani. Mungu aliyekuumba hatakuacha uteseke na hakuna lisilowezekana ukimtumaini mungu atakuponya.
Mkuu wewe penda papuchi hua fikiria ya bele yako?Mi huwa nashangaa sana..sasa wanapotumia haya madude huwa hawafikirii mbele iyakuwaje..
Fun lkn dah, ni kumuombea tuDuuh nilidhani,mzee Kingunge.
Sio chid bajaj ni chid tecno h5Chid bajaj[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mpeni Maiki aimbe Dar es salaam stand up.. put u're hands up....Wazee wa fitina wasema kwa sasa anatakiwa kuitwa chidi vits...
View attachment 330860
View attachment 330861
Nay ni msanii wa rap?... Me najua anaimba MIPASHO.kwasasa chidi benz hamkuti dogo janja kwa afya,asaidiwe na nani badala ya kujisaidia mwenyewe kwanza kuacha upuuzi.
niliwahi kuwa mvutaji mzuri wa sigara,nikapata kansa ya mapafu nikatibiwa nikapona.daktari siku ananiaga alisisitiza kunywa pombe moshi achana nao.mpaka leo niko poa kwani kweli sijagusa.
Nilikua namkubali sana chid kwa rap zake kwakweli angeendelea angefika mbali sana.nafkiri Nay kidogo anafuatia lakini kwa Chid yuleeee Nay bado sana.
nataka watu wanisaidie, natamani kusaidiwa, natamani kupata mafanikio anayopata Diamond,” alisisitiza.
View attachment 330955
Bado haja goshoo ila naona wadau wana hamu ya kumlia maharage mchizi ndio maana unaona uchuro mwingi humu!