King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
Nilimwoma kwa Tv fulani alikuwa na interview,aisee binti kachoka mno.....unaweza hata mnyama kumbe binadamu mwenzio.Kweli kila jambo na wakati wake,umri umekwenda sasa ,ameamua kupunguza mambo mengi.View attachment 2279382
Teh teh teh teh teh......At her ages , kawa ka kinyago Cha kutishia watotoView attachment 2279396
Imeshatoka hiyo ni sawa na kusema mzee atarudi ujananiHope ngozi itarudi sawa. Mkorogo hatari
[emoji23][emoji23]Mwamba akiambiwa afanye tena kama hv sidhan kama atakubali hata kwa fimbo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mara nyingi tu ,anapenda viben 10 balaa kuna mwana kwaya check Bob tu ndio anakulaUlishamtia?
Mwanaume hazeeki ?Mchawi wa mwanamke ni muda tu.
Nasikia congo hadi wanaume wanajipodoa?Ila sijui nani aliyeturoga waAfrica kuchukia rangi yetu,,,nahii bongo,congo ndio sana! [emoji1373]
Pesa inawafanya wawe tofauti. Japo Asha alikuwa bosi wake.Kama yeye kazeeka hv je Asha Baraka yupoje
Duh....Ulishawahi kuchoma muhindi kwenye gesi hizi taifa gesi
Haihusiani na maada
Aisee...Mwanaume pesa na afya nzuri.
We hujaona vibabu vinapiga vibinti vigori?
Ila mwanamke sasa , kwa mfano hapo luiza anamtongoza nani saizi? labda kama yeye ndio anatongoza vijana wapenda vitonga.
Unataka kuwapasua watu vibubu vyao.Kuzeeka ni kuamua. Unaweza ku keep mwili wako at 30 age siku zote, Bila upasuaji
Nitaanza kutoa formula mtu akija DM
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Jirani hujambo..Hope ngozi itarudi sawa. Mkorogo hatari
Kwa umri wa Luiza hatutegemei kumuona ktk sura tofauti na hii kasoro ujana wake alitumia tu hiyo mikorogo.Nilitaka kumbeza ila nimekumbuka alivyotutumbuiza enzi hizo nimemsamehe bure. Jirani Jirani yangu nimekukosea nini? [emoji444] [emoji445] [emoji444]