Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Nilitaka kusema, asante umeniwahi.Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Mbona kama chuma chakavu
Mbona kama coaster ile Rosa.Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR jipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504
Naona kama Rosa.Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..