Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

images (9) - 2022-02-21T231057.092.jpeg
 
Huyo jamaa ni hasara kwa taifa hatumii akili hata kidogo ukisoma comments zake unagundua tu kama pimbi ameshika simu.
Embu naomba picha za kichwa na behewa ambavyo serikali imekwisha lipia? Kwa ufupi tu ni mtumba na hauna tofouti na hili behewa la mkandarasi
 
Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR jipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504

kuna shida gan mbona treni z umeme tunazoona kwenye media syo mbaya hiviii!!
shida n nn wanunuaji wanakula 10% au n bajet yetu ndogo?? jaman ukiangalia za china n nzuri nenda sasa kaone waliowatengenezea wakenya utachoka!!
IMG_7220.jpg

IMG_7218.jpg

IMG_7217.jpg

IMG_7219.jpg

apo kuna ya egypt,australia, china yakwanza, nk!!
unaeza fananinisha na hayo
 
Mbona sio vichwa vya kisasa kama walivyokuwa wakionesha mwanzo? Hii nchi inachzewa sana wachache kwa maslahi yao binafsi
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Ama nchi ndugu, kamwe mtanzania hawezi ridhika
 
Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!

Sawa tunakukubalia kwa iyo tusubiri vichwa vingine vitakuja. Wala hakuna shida muda ni mwamuzi sahihi.
 
Afu nyie TRC kweli mlishiriki kuleta idea ya kujenga kituo cha mwendokasi karibu na stesheni kuu mpya ya sgr pale posta. Ikija chongwa barabara upande wa stesheni mandhari yote ya nje inapotea
 
sasa vya testing viko hivi ivo vya kutembelea unadhan vitakuaje??![emoji3][emoji23]View attachment 2126646
unadhan vitakua hivi au??
Mkuu hizi ni biashara na kama ni biashara mtu anajikuna pale anapofikia...ni kama hizi biashara za magari mkuu wapo ambao bado wananunua magari ya mwaka 1998&1999 lkn wakati huo huo wapo wale wakina mimi tunanunua magari ya 2021😆najua utabisha
 
Back
Top Bottom