Hivi ni mimi ndie sielewi, au?
Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...
Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?
Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!
Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!
Tunakwama wapi?!