Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!
Kwann kimechorwa logo za trc[emoji848]
 
Kwann kimechorwa logo za trc[emoji848]
Hakuna logo ya TRC hapo kwenye kichwa,Bali picha ina logo ya TRC..sijui umenielewa? Yaani km vile Millard Ayo akipost picha anaweka logo yake ili mtazamaji ajue hii picha ina hati miliki ya Millard,the same applies Kwa nipashe au tbc au.....TRC

Achana na picha ya Kwanza na ya nne,Angalia picha ya pili na ya tatu,logo ime-overlap hivyo vichwa Kwa juu kumaanisha hakuna uhusiano wa logo na kichwa cha treni

Tz imeagiza vichwa south Korea,Germany na Austria na haviko na Sura mbaya Kama hivi vya mkandarasi,tusubiri mida ufike
 
Hahaha ukisoma hizi comments ndio utajua watanzania sisi tunafahamu vipi mambo, habari inasema kichwa cha mkandarasi cha majaribio lakini watu wamemwaga povu balaa mwingine anasema kimechorwa logo ya TRC dah..

mkuu DeepPond kwa hali hii lazima upokonywe yule mtu..
 

Hii (picha) kitu ipo Republic of South Africa sijui lini itafika kwetu Tanzania

https://www.railtech.com › ... › 30
Rolling stock manufacturers intensify competition in South Africa

30 Oct 2019 — For instance, CRRC and General Electric are cooperating with Transnet Rail Engineering, a subsidiary of South African railway company Transnet, ...


Rolling stock manufacturers intensify competition in South Africa​

Published on 30-10-2019 at 10:03
An increasing number of rolling stock manufacturers regard South Africa as a key to their success on the entire African railway market. To strengthen presence, they establish or modernise own facilities in the country. This year alone, two major companies, Alstom from France and Transmashholding from Russia, have launched new and upgraded plants in South Africa. Other foreign rolling stock manufacturers produce the new rolling stock in South Africa with the help of local partners
 
hahaha ukisoma hizi comments ndio utajua watanzania sisi tunafahamu vipi mambo, habari inasema kichwa cha mkandarasi cha majaribio lakini watu wamemwaga povu balaa mwingine anasema kimechorwa logo ya TRC dah..

mkuu DeepPond kwa hali hii lazima upokonywe yule mtu..
Kumradhi chief, niliangalia kwa haraka sana.

Kumbe Ni watermark ya trc iyo kwny picha[emoji106][emoji4]
 
Ila Imechoka Kwa Kweli Tuambizane Ukweli Tu.

Nahisi Ni Model Ya Miaka Ya 80's


sina utaalamu na treni lkn hiki kinaonekana cha kizamani sana.
kweli wakuu tumepigwa limefanya kazi tangu miaka 90 huko
hata km test ndo watuletee lidude la miaka 90
wakati reli ni ya kisasa


[emoji848] dah !
Screenshot_20220222-010155_Chrome%20Beta.jpg
Screenshot_20220222-010900_Chrome%20Beta.jpg
 
Pathetic.
Hivi watu wengine wakienda nchi za nje wanaangaliaga nini?
Hicho si Kama vile vya Kenya MSA ..NBI masaa 8 halafu wsnaita SGR.
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upuuzi tu ...Hivyo vichwa vinatofauti gani na gari la Jeepers CreepersView attachment 2126536
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unajua ni saa nane za usiku saa hii nasoma comment yako we jamaa nimecheka hapa hadi basi daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti kama gari ya Jeepers creepers [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nchi ina tabu hii,...usipokuwa mvumilivu utaweza kujikuta unawapyambyilia mbali haters wa kijingajinga!!
 
Hata mimi nimeelewa hivyo hivyo mkuu naona hao jamaa wamekurupuka bila kuelewa....
Wataelewaje wakati chuki imezidi kipimo kiongozi?!!!!!

Chuki ikizidi hudumaza milango yote muhimu ya ufahamu.....hatari sana aisee!!!

Kiimani hii ni dalili kuwa huyu mama atafanikiwa sana, tusubiri tu. Mungu anakawaida ya kumuinua afanyiwae hila sana!!
 
Hivi hawa watu mbona wanajichukia sana? Madili dili kila sehemu? Hivi hamchoki au hamwoni uchungu nchi kubaki pale pale?
 
Back
Top Bottom