Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

[emoji23][emoji23][emoji23]
20220221_123450.jpg
 
Sijui ntakuwa sawa! Vyombo vya moto vya kisasa ukiondoa magari ya kijeshi na ya shughuli za ujenzi, vyombo vingine vingi huwa vina maumbo ya mayai. Yaani kona ya bodi inakuwa siyo kali sana.

Kwa hiyo hicho kichwa ni cha kizamani!
 
Hicho kilitumika kipindi cha vita ya pili Dunia.
Afrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..

Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
 
Hivi ni mimi ndie sielewi, au?

Mbona majority mnalalamika kwamba kichwa ni mtumba wakati taarifa inasema wazi kwamba ni Kichwa CHA MKANDARASI kwa ajili ya MAJARIBIO...

Sasa mlitarajia Mkandarasi anunue kichwa kipya kwa ajili ya kuja kufanyia majaribio ya TZ pekee, ama?

Nadhani hicho kichwa kitakuwa kinaenda kila mahali ambako kunakuwa na projects za aina hiyo!

Na unaweza kukuta ni kicwa kinachomilikiwa na mwingine lakini Contractors huwa wanakikodi kwenda kufanyia majaribio kwenye projects zao!!

Tunakwama wapi?!
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Leo nimeamini kweli hauna tofauti na mdude... Taarifa inasema kichwa ni vha mkndarasi na kimeletwa kwa majaribio wewe unasema mama aache utani
 
Afrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..

Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
Hata Kama La Mkandarasi Haiwezekani Anatuchezea Sana
 
Back
Top Bottom