Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Pamoja na hayo yote anafanya mazoezi sana hasa yoga, ana dietitian wa kumshauri vyakula vya kila siku.
Hayo mazoezi yangekuwa yanasaidia basi wale walimu wa yoga wasingekuwa wanazeeka,
Hawa macelebrity hawajawahi kuwa wakweli hata siku moja,
Ndio kama Khloe Kardashian anavyosema lile tako amelipata kwa ajili ya squats wakati dunia nzima inajua kuwa familia yao wote ni watu wa kujiongeza kwa botox nk😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…