Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

Pamoja na hayo yote anafanya mazoezi sana hasa yoga, ana dietitian wa kumshauri vyakula vya kila siku.
Hayo mazoezi yangekuwa yanasaidia basi wale walimu wa yoga wasingekuwa wanazeeka,
Hawa macelebrity hawajawahi kuwa wakweli hata siku moja,
Ndio kama Khloe Kardashian anavyosema lile tako amelipata kwa ajili ya squats wakati dunia nzima inajua kuwa familia yao wote ni watu wa kujiongeza kwa botox nk😆😆
 
Tupia kapicha Baba halafu tukuambie unalingana na Hiyo miaka au lah

Hahahaha weeeee
Ila kwa ukaribu na muonekano nimefanana zaidi na huyu
Sasa hapo utaamua pa kuniweka
IMG_2752.jpg
 
Back
Top Bottom