Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hayo mazoezi yangekuwa yanasaidia basi wale walimu wa yoga wasingekuwa wanazeeka,Pamoja na hayo yote anafanya mazoezi sana hasa yoga, ana dietitian wa kumshauri vyakula vya kila siku.
Hawa macelebrity hawajawahi kuwa wakweli hata siku moja,
Ndio kama Khloe Kardashian anavyosema lile tako amelipata kwa ajili ya squats wakati dunia nzima inajua kuwa familia yao wote ni watu wa kujiongeza kwa botox nk😆😆