Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aise...
Umesahau kuweka namba ya simu mzee, biashara matangazo!!...
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aise...
Nininininini.....ngoja kwanza nifikiri nitarudi baadae.
 
Yani 168cm ambayo ni futi 5 na nchi 6 unajiita mrefu??

Wewe na hesabu mlikuwa na ugomvi?

Mathieu Valbuena alikuwa mfupi sana miongoni mwa wachezaji alikuwa na 167 cm muone hapo ujione.View attachment 3009603View attachment 3009604
Mwambie uyo... au kwa lugha nyepesi Peter Dinklage ana urefu wa cm 135 kwahiyo wewe bwana mzuri umemzidi urefu wa rula moja ya cm 30 uyu mwamba..

JF wanaume wazuri hatari, wanawake sasa!!! Maana wanawake hawajawahi kujianzishia uzi kwamba wao ni wazuri, na hata wakianzishiwa uzi ni wakupondwa tu, wabaya, vizee 🀣
 
Golikipa kaenda kushambulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…