Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Umesahau kuweka namba ya simu mzee, biashara matangazo!!...Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aise...