Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aise...
Umesahau kuweka namba ya simu mzee, biashara matangazo!!...
 
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu

Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm mwenyewe huwa nikijiangalia najionea aibu aise...
Nininininini.....ngoja kwanza nifikiri nitarudi baadae.
 
Yani 168cm ambayo ni futi 5 na nchi 6 unajiita mrefu??

Wewe na hesabu mlikuwa na ugomvi?

Mathieu Valbuena alikuwa mfupi sana miongoni mwa wachezaji alikuwa na 167 cm muone hapo ujione.View attachment 3009603View attachment 3009604
Mwambie uyo... au kwa lugha nyepesi Peter Dinklage ana urefu wa cm 135 kwahiyo wewe bwana mzuri umemzidi urefu wa rula moja ya cm 30 uyu mwamba..

images (8).jpeg
 
JF wanaume wazuri hatari, wanawake sasa!!! Maana wanawake hawajawahi kujianzishia uzi kwamba wao ni wazuri, na hata wakianzishiwa uzi ni wakupondwa tu, wabaya, vizee 🤣
 
𝕌𝕟𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕞𝕒𝕠𝕞𝕓𝕚, 𝕙𝕒𝕜𝕦𝕟𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕟𝕒𝕞𝕞𝕖 𝕞𝕓𝕒𝕪𝕒 𝕒𝕦 𝕞𝕫𝕦𝕣𝕚, 𝕛𝕚𝕔𝕙𝕦𝕟𝕘𝕦𝕫𝕖 𝕦𝕟𝕒𝕤𝕙𝕚𝕕𝕒 𝕤𝕖𝕙𝕖𝕞𝕦,𝕒𝕦 𝕦𝕟𝕒𝕥𝕒𝕗𝕦𝕥𝕒 𝕤𝕠𝕜𝕠 𝕙𝕦𝕞𝕦?
Golikipa kaenda kushambulia...
 
Back
Top Bottom