Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #201
pes 13, FIFA 14, na games nyingi za 2010 kushuka. unapenda games za aina gani?Ndugu zangu wana jamii.... Game gani naweza kucheza kwa mashine hii View attachment 414579
Za mashindano ya magar na mission aina mbali mbalipes 13, FIFA 14, na games nyingi za 2010 kushuka. unapenda games za aina gani?
Mkuu kama unaweza ongeza kwanza hio ram, atleast 6gb, ila ukikosa kabisa kabisa 4gb. ram ya 2gb ni 15,000 tu. hivyo nunua ongezea hio yako.Za mashindano ya magar na mission aina mbali mbali
nimeinunua 450000 tsh.kwa mtuconfirm CPU yake ni i5 5200u? unainunua wapi? bei gani?
Ahsante mkuuMkuu kama unaweza ongeza kwanza hio ram, atleast 6gb, ila ukikosa kabisa kabisa 4gb. ram ya 2gb ni 15,000 tu. hivyo nunua ongezea hio yako.
games za mission
-call of duty modern warfare 1 hadi 3, black ops, world at war
-assasin creed 1 hadi 3
-far cry 1 hadi 3
-just cause 1 na 2
-prince of Persia 1 hadi 4
-project igi zote
-half life
-deadspace 1 na 2
-portal 1 na 2
magari
-grid 1 na 2
-dirt 3 na 2
-need for speed, most wanted, underground one na two, Porsche na carbon
-
bei nzurinimeinunua 450000 tsh.kwa mtu
kaka hakuna i7 6200u angalia vizuri,Kaka mkwawa nichekie hizi pc Dell latitude intel i5 6200U ikoje na Dell inspiron 1400 series i7 6200u nataka ninunue moja wapo hapo
Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500Ukaka hakuna i7 6200u angalia vizuri,
bei ni ngapi,
hizo CPU za 6th gen kama hio i5 6200u ni nzuri sana umeme inakula kidogo, performance kubwa na GPU nzuri
Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500U
Kuna mwana anaziuza $300
Dell latitude ni i5 ila hiyo inspiron ni i7. Je naweza kucheza magame mazuri mazuri kwel hapo kwenye hzo laptops mbilisio mbaya bei, so zote ni i7 au moja i5? maana tofauti ya ile i5 na hio i7 ni kama 0.3ghz hivyo kama kuna utofauti mkubwa wa bei i5 inakuwa nzuri.
laptop zote mbili zina GPU moja yaani hd 520.Dell latitude ni i5 ila hiyo inspiron ni i7. Je naweza kucheza magame mazuri mazuri kwel hapo kwenye hzo laptops mbili
Mkuu processor haihuasiani na fullscreen, resolution etc hio ni GPU.Kwa cc wachza magem processor hua inapungua spidi pale ambapo unapocheza gem likiwa in full screen au ni matatizo ya resolution tu ndo inafanya gem igande gande (lag)? In case ilo gem halisupport full screen
mkuu nina pc yangu ilkua inasoma vzr lakin sasa hv inakula cpu hadi asilimia 100% used na Imedetect rong processor Redotern inanila kichwaMkuu processor haihuasiani na fullscreen, resolution etc hio ni GPU.
yap inawezekana ukieka game fullscreen likasumbua, ila vyema zaidi ukajua resolution na jinsi ya kupunguza quality ya graphics. unaweza ukaeka fullscreen na resolution ndogo na quality ya graphics ndogo game lisisumbue
pengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurrency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.mkuu nina pc yangu ilkua inasoma vzr lakin sasa hv inakula cpu hadi asilimia 100% used na Imedetect rong processor Redotern inanila kichwa
Mkuu hii pc vipi itapiga mzigo fresh katika sekta zote kwa 480k ila touch imezingua so na ninaweza pata touch yake?Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500U
Kuna mwana anaziuza $300
pengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurrency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.
unaweza kuta MTU kakuekea malware anatumia CPU yako kuchimba hizo bitcoin. unaweza kuitrace hio process ujue ni program gani inayofanya hivyo
Mkuu kwa bei hio ni rahisi tena sana, PC za i7 quad nyingi bei zake zikiwa mpya ni milioni moja kupanda. hata ingekuwa haina display kabisa bei hio ni ndogo.View attachment 416307
Mkuu hii pc vipi itapiga mzigo fresh katika sekta zote kwa 480k ila touch imezingua so na ninaweza pata touch yake?
Ngoja niichek mkuupengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurrency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.
unaweza kuta MTU kakuekea malware anatumia CPU yako kuchimba hizo bitcoin. unaweza kuitrace hio process ujue ni program gani inayofanya hivyo