Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Za mashindano ya magar na mission aina mbali mbali
Mkuu kama unaweza ongeza kwanza hio ram, atleast 6gb, ila ukikosa kabisa kabisa 4gb. ram ya 2gb ni 15,000 tu. hivyo nunua ongezea hio yako.

games za mission
-call of duty modern warfare 1 hadi 3, black ops, world at war
-assasin creed 1 hadi 3
-far cry 1 hadi 3
-just cause 1 na 2
-prince of Persia 1 hadi 4
-project igi zote
-half life
-deadspace 1 na 2
-portal 1 na 2

magari
-grid 1 na 2
-dirt 3 na 2
-need for speed, most wanted, underground one na two, Porsche na carbon
-
 
Ahsante mkuu
 
Kaka mkwawa nichekie hizi pc Dell latitude intel i5 6200U ikoje na Dell inspiron 1400 series i7 6200u nataka ninunue moja wapo hapo
 
kaka hakuna i7 6200u angalia vizuri,

bei ni ngapi,

hizo CPU za 6th gen kama hio i5 6200u ni nzuri sana umeme inakula kidogo, performance kubwa na GPU nzuri
 
Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500U
Kuna mwana anaziuza $300
 
sio mbaya bei, so zote ni i7 au moja i5? maana tofauti ya ile i5 na hio i7 ni kama 0.3ghz hivyo kama kuna utofauti mkubwa wa bei i5 inakuwa nzuri.
 
Dell latitude ni i5 ila hiyo inspiron ni i7. Je naweza kucheza magame mazuri mazuri kwel hapo kwenye hzo laptops mbili
 
laptop zote mbili zina GPU moja yaani hd 520.

yap almost game zote zinachezeka, sema nyengine itabidi upunguze setting

Intel HD Graphics 520

ingia hapo shuka chini utaona wametest games kwenye GPU ya hizo laptop. kuanzia fps 20 ndio atleast unacheza games ila 30 kupanda ndio unatakiwa angalau uzipate ili game liwe smooth
 
Kwa cc wachza magem processor hua inapungua spidi pale ambapo unapocheza gem likiwa in full screen au ni matatizo ya resolution tu ndo inafanya gem igande gande (lag)? In case ilo gem halisupport full screen
 
Mkuu processor haihuasiani na fullscreen, resolution etc hio ni GPU.

yap inawezekana ukieka game fullscreen likasumbua, ila vyema zaidi ukajua resolution na jinsi ya kupunguza quality ya graphics. unaweza ukaeka fullscreen na resolution ndogo na quality ya graphics ndogo game lisisumbue
 
mkuu nina pc yangu ilkua inasoma vzr lakin sasa hv inakula cpu hadi asilimia 100% used na Imedetect rong processor Redotern inanila kichwa
 
pengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurrency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.

unaweza kuta MTU kakuekea malware anatumia CPU yako kuchimba hizo bitcoin. unaweza kuitrace hio process ujue ni program gani inayofanya hivyo
 
Kaka kumbe ni Dell inspiron 14 5000 series intel(R) Core(TM) i7-6500U
Kuna mwana anaziuza $300
Mkuu hii pc vipi itapiga mzigo fresh katika sekta zote kwa 480k ila touch imezingua so na ninaweza pata touch yake?
IMG-20161011-WA0091.jpg
 
IMG-20161011-WA0091.jpg
pengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurr
IMG-20161011-WA0091.jpg
ency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.

unaweza kuta MTU kakuekea malware anatumia CPU yako kuchimba hizo bitcoin. unaweza kuitrace hio process ujue ni program gani inayofanya hivyo

Mkuu hii pc vipi itapiga mzigo fresh katika sekta zote kwa 480k ila touch imezingua so na ninaweza pata touch yake?
 
View attachment 416307

Mkuu hii pc vipi itapiga mzigo fresh katika sekta zote kwa 480k ila touch imezingua so na ninaweza pata touch yake?
Mkuu kwa bei hio ni rahisi tena sana, PC za i7 quad nyingi bei zake zikiwa mpya ni milioni moja kupanda. hata ingekuwa haina display kabisa bei hio ni ndogo.

INA dedicated GPU?

GPU inayokuja na hio CPU itacheza game nyingi sana kwa 720p, game kama GTA v, pes zote, FIFA zote etc. unaweza kwenda YouTube kuangalia HD 4600 gaming. na kama INA GPU ya nvidia au amd itakuwa vizuri zaidi

kuhusu touch sijui utapata wapi, cheki maeneo ya kkkt kariakoo karibu na aggrey kwenye maduka ya simu. au machinga complex
 
pengine ni mgodi Mkuu, siku hizi kuna vitu vinaitwa cryptocurrency kama vile bitcoin, kama yalivyo madini hizo nazo huchimbwa kutumia computer.

unaweza kuta MTU kakuekea malware anatumia CPU yako kuchimba hizo bitcoin. unaweza kuitrace hio process ujue ni program gani inayofanya hivyo
Ngoja niichek mkuu
 
Back
Top Bottom