Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Ndugu zetu Simba wamepoteana , Simba ilisha kaa toka 2013 impala 2017 miaka mitano bila ubingwa na Mangungu hakuwepo kwaiyo Mangungu si sababu.
Mangungu yupo Simba kwa miaka mi3, Embu tuambie nini uhusiano kati ya 2013-17 uliyouleta kama rejea na 2017/18, 2018/19 2019/20, 2020/21 ukilinganisha na ujio wa Mangungu? Tumia akili za binadamu si Chura.
 
Sasa mtani km sherehe siyo yako tai ndefu ya nini. Na kwa nini ulie wakati msiba siyo wako
 
Wakati anamleta manzoki kwenye kampeni si-mlikuwa mnachekelea na kufurahi na mkamchagua iweje leo muwalaumu tena yanga
 

Alaah! Kumbe yanga ndio mmemweka mangungu ili mfanye hujuma kupitia yeye sio..kwaio hata mafanikio yenu ni ya kimagumashi
Nadhani maana wao leo wamekua mtetezi wao
 
Bandiko refu kama maelezo ya Mangungu juzi redioni...hayaeleweki..
 
Mashabiki wa simba walishangilia vibaya mno kwenye ile mechi ya fa ambayo manzoki alikua uwanjan nakumbuka vizuri sana ni mwaka jana mwishoni wa january
Labda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...
 
Labda walifurahi kumuona supastaa wa kipindi hiko na sio kwamba walimfurahia Mangingo...
Sio supastaa ilikua ni siku kadhaa kabla ya uchaguzi na alitumika kwenye kampeni za mangungu na akishinda kwa kishindo tokea pale nikaona washabiki wengi wa simba wana-shida mahali

Sio tu pale uwanjani hadi huku mtaani mashabiki walishangilia sana
 
Sawa kwanini upande wa Mo wanajihuzuru muda huo huo wanarudi kwenye madaraka na halionekani ni tatizo?
 
Wapo baadhi ya member humu wanafurahia sana tunavyofarakana ni suala la muda hata wao waliteseka miaka mnne,kwao miaka mitatu imekua karne mbwa nyie kaeni kwa kutulia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…