Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Huyu mlimrudisha tena wakati simba tayari inafanya vibaya, hamkuliona hilo kwmba hana jipya? Yaani mumchague wenywe siku mbili mtake ajiuzulu, mpo timamu kweli?
Samahani mkuu unatukosea huyu mtu hatukumrudisha, alijirudisha kama utakuwa na kumbukumbu rejea lile sanduku lilihesabiwa alfajiri baada ya kugundulika kuwa yuko nje ya kura. Kwa maana nyingine kamati ya uchaguzi ilikuwa chini ya maelekezo yake.
 
Mkuu umeelezea vyema kabisa na namuonya Murtaza Mangungu aachie Ngazi Simba SC haraka sana ili asije Kujuta.
 
Ungefanya la maana kama ungewaandika hapa hawa / hao Wakuja ni akina nani na siyo Kufumba kama Dk. Kumbuka.
 
Naomba ututake radhi wananchi Mimi ni mwana yanga lialia nafurahia mnavyovurunda natamani mvurunde hata miaka kumi mfululizo ila kusema ukweli hata mimi simtaki Mangungu, naomba tushirikiane kumtoa ili apatikane m/kiti mwingine mbovu zaidi ya mangungu
 
Aisee kama mangungu ni mtoto Mimi bado sijazaliwa🤣🤣🤣🤣
 
Mangungu yupo Simba kwa miaka mi3, Embu tuambie nini uhusiano kati ya 2013-17 uliyouleta kama rejea na 2017/18, 2018/19 2019/20, 2020/21 ukilinganisha na ujio wa Mangungu? Tumia akili za binadamu si Chura.
Kwa Elimu uliyompa hapa akithubutu kukurejea tena nitaamini kuwa ana Ugonjwa mkubwa sana wa Akili yaani Utaahira.
 
Ifo
Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?

Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Ifike muda wanachama na mashabiki wa Simba msiwe bendera fata upepo, uyo mangungu mnayemlaumu ndiye anayeendesha operation za klabu? Katiba yenu mnaitambua? Timu ikishinda kwanini sifa mnampa Mhindi na timu ikipoteza kwanini mnamuangushia mangungu mzigo?
Mangungu ndiye anayesajili? Mangungu ndiye anayelipa mishahara ya wachezaji? Mangungu ndiye aliyewaleta kina jobe? Kama ni yeye mbona wamejiuzulu kina try again na sio mangungu? Tuambieni kosa la mangungu ni lipi Tena kwa hoja zenye mashiko vinginevyo mangungu asiendelee kusikiliza kelele za wapiga debe ambao awajielewi na Wala awaelewi katiba waliyoipitisha wao wenyewe ni vituko tu!
 
Kila kitu Kiko wazi hakuna anayemshinikiza.Hiyo Simba Leo iko taabani kakosa hata nafasi ya pili.Bado unasubiri mkutano wa wanachama Ina maana ikishuka daraja ndio atajihudhulu?.Alafu si Kila anayecoment kinyume chako ni shabiki wa Simba. Kama mwenyekiti aliwajibiki vipi kuinusuru timu walau ibaki CAFL au anasubiri iwe kama Tabora united ndio atawajibiki.Waafrika Huwa wanasubiri mambo yameshaaribika ndio anaachia ngazi.
 
Sio supastaa ilikua ni siku kadhaa kabla ya uchaguzi na alitumika kwenye kampeni za mangungu na akishinda kwa kishindo tokea pale nikaona washabiki wengi wa simba wana-shida mahali

Sio tu pale uwanjani hadi huku mtaani mashabiki walishangilia sana
Do not generalize things sir...
 
Rudia hayo maswali kujiuliza tena..ni wapi ambapo huyo Mangungu hausiki?
Leo ndo mnajua sheria si ndio baada ya kuona wanasimba wamejua mzigo uliopo hapo SSC.
Kama mnampenda Mangungu mchukueni..
 
Mimi nawashangaa sana hawa waliokuja Dar kwa mafuso ya kubeba nafaka,wanadhani maneno yao ndio yatamfanya Ngungus Boy mtoto wa Dar Downtown Kitammbo atatishika na maneno yao ya khanga.
 
Wapo baadhi ya member humu wanafurahia sana tunavyofarakana ni suala la muda hata wao waliteseka miaka mnne,kwao miaka mitatu imekua karne mbwa nyie kaeni kwa kutulia..
Ngungus Boy yupo sana hapo Msimbazi na hatishiwi kwa maneno ya khanga na taarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…