Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unamtaka akuoeMangungu bado tunamtaka hakuna wa kumtoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtaka akuoeMangungu bado tunamtaka hakuna wa kumtoa
Wewe mpe tu Kichwa sawa ila nakuambia hatokuja Kuamini.Mangungu amechaguliwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu. Unataka ajiuzulu kwa sababu gani? Ungeziorodhesha hizo sababu ili tuzipime na kuona kama zina mashiko, au la.
Samahani mkuu unatukosea huyu mtu hatukumrudisha, alijirudisha kama utakuwa na kumbukumbu rejea lile sanduku lilihesabiwa alfajiri baada ya kugundulika kuwa yuko nje ya kura. Kwa maana nyingine kamati ya uchaguzi ilikuwa chini ya maelekezo yake.Huyu mlimrudisha tena wakati simba tayari inafanya vibaya, hamkuliona hilo kwmba hana jipya? Yaani mumchague wenywe siku mbili mtake ajiuzulu, mpo timamu kweli?
Mkuu umeelezea vyema kabisa na namuonya Murtaza Mangungu aachie Ngazi Simba SC haraka sana ili asije Kujuta.Simple la kumwambia ajiuzulu ni kutekeleza kanuni tuuh za uongozi bora ,moja ya kanuni hizo hizo ni uwajibikaji na KUJIUZULU ni sehemu ya uwajibikaji.
Kama mnampa kichwa atapasuka uyo hana jipya pale simba zaidi ya ahadi za uongo na zakitoto
Asidhani anaongoza familia yake .EBOOOOOH!!!!?
Ungefanya la maana kama ungewaandika hapa hawa / hao Wakuja ni akina nani na siyo Kufumba kama Dk. Kumbuka.Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.
Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Una uhakika wa 100% kabisa kuwa Bangi uliyoivuta Leo kabla ya kuja Kuandika hapa hiki Kituko ilikuwa sahihi Kimatumizi?Sisi mashabiki kindakindaki wa Simba tunasimama na Murtaza Mangungu, Mo atuachie timu yetu.
Aisee kama mangungu ni mtoto Mimi bado sijazaliwa🤣🤣🤣🤣Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.
Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Kwa Elimu uliyompa hapa akithubutu kukurejea tena nitaamini kuwa ana Ugonjwa mkubwa sana wa Akili yaani Utaahira.Mangungu yupo Simba kwa miaka mi3, Embu tuambie nini uhusiano kati ya 2013-17 uliyouleta kama rejea na 2017/18, 2018/19 2019/20, 2020/21 ukilinganisha na ujio wa Mangungu? Tumia akili za binadamu si Chura.
Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Ifike muda wanachama na mashabiki wa Simba msiwe bendera fata upepo, uyo mangungu mnayemlaumu ndiye anayeendesha operation za klabu? Katiba yenu mnaitambua? Timu ikishinda kwanini sifa mnampa Mhindi na timu ikipoteza kwanini mnamuangushia mangungu mzigo?Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Bila shaka baada ya kuliona Umefurahi sana Mkuu au?Nilisubiri sana bandiko lako
Kila kitu Kiko wazi hakuna anayemshinikiza.Hiyo Simba Leo iko taabani kakosa hata nafasi ya pili.Bado unasubiri mkutano wa wanachama Ina maana ikishuka daraja ndio atajihudhulu?.Alafu si Kila anayecoment kinyume chako ni shabiki wa Simba. Kama mwenyekiti aliwajibiki vipi kuinusuru timu walau ibaki CAFL au anasubiri iwe kama Tabora united ndio atawajibiki.Waafrika Huwa wanasubiri mambo yameshaaribika ndio anaachia ngazi.Basi wanachama kama kweli mnamuona Mwenyekiti wenu hatoshi, si mhamasishane ili uitishwe mkutano mkuu wa klabu kwa lengo la kumpa nafasi ya kujitetea.
Na ikibainika ana makosa, ndiyo utaratibu sahihi wa kumuondoa ufuate. Ila siyo kwa kumshinikiza kupitia mitandao ya kijamii.
Do not generalize things sir...Sio supastaa ilikua ni siku kadhaa kabla ya uchaguzi na alitumika kwenye kampeni za mangungu na akishinda kwa kishindo tokea pale nikaona washabiki wengi wa simba wana-shida mahali
Sio tu pale uwanjani hadi huku mtaani mashabiki walishangilia sana
Rudia hayo maswali kujiuliza tena..ni wapi ambapo huyo Mangungu hausiki?Ifo
Ifike muda wanachama na mashabiki wa Simba msiwe bendera fata upepo, uyo mangungu mnayemlaumu ndiye anayeendesha operation za klabu? Katiba yenu mnaitambua? Timu ikishinda kwanini sifa mnampa Mhindi na timu ikipoteza kwanini mnamuangushia mangungu mzigo?
Mangungu ndiye anayesajili? Mangungu ndiye anayelipa mishahara ya wachezaji? Mangungu ndiye aliyewaleta kina jobe? Kama ni yeye mbona wamejiuzulu kina try again na sio mangungu? Tuambieni kosa la mangungu ni lipi Tena kwa hoja zenye mashiko vinginevyo mangungu asiendelee kusikiliza kelele za wapiga debe ambao awajielewi na Wala awaelewi katiba waliyoipitisha wao wenyewe ni vituko tu!
Anahusika kwenye kipi apoRudia hayo maswali kujiuliza tena..ni wapi ambapo huyo Mangungu hausiki?
Leo ndo mnajua sheria si ndio baada ya kuona wanasimba wamejua mzigo uliopo hapo SSC.
Kama mnampenda Mangungu mchukueni..
Mimi nawashangaa sana hawa waliokuja Dar kwa mafuso ya kubeba nafaka,wanadhani maneno yao ndio yatamfanya Ngungus Boy mtoto wa Dar Downtown Kitammbo atatishika na maneno yao ya khanga.Wengi mnamsoma Murtaza kwenye media tu hamujuhi, huyo Murtaza nyumbani kwao ni Kitumbini mtaa wa Libya uhindini kabisa.
Hakuna mshamba yeyote wa kuja wa kumbabaisha Murtaza, Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza mtoto wa Libya street, kwakifupi hizo timu sasa hivi zinaongozwa na watoto wa mjini na Murtaza anao uwezo wa kupata pesa za kusajili, siandiki porojo namjuwa vizuri Murtaza kuliko wakuja wengi wanavyomchukulia.
Wewe kama nani mpaka usimtake?HATAKIWI PALE MSIMBAZI
Aende hata kuichukua biashara united
Ngungus Boy yupo sana hapo Msimbazi na hatishiwi kwa maneno ya khanga na taarabu.Wapo baadhi ya member humu wanafurahia sana tunavyofarakana ni suala la muda hata wao waliteseka miaka mnne,kwao miaka mitatu imekua karne mbwa nyie kaeni kwa kutulia..
Kwamba wanachama wa Simba ni mambumbumbu wamechagua nazi?Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?