Mumeo anajua huku mitandaoni unamtaja taja ovyo mwanaume mwingine ovyo namna hii...Ngungus Boy yupo sana hapo Msimbazi na hatishiwi kwa maneno ya khanga na taarabu.
Mtoa mada kasema mangungu ajiudhuru au kujiudhuru kunahitaji mkutano mkuu? Sababu za kujiudhuru ni timu kufanya vibaya chini ya uongozi wake.Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!
Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Sawa!Ngungus Boy yupo sana hapo Msimbazi na hatishiwi kwa maneno ya khanga na taarabu.
Mimi huwa najiuliza, kama Mo alitoka kwenye uongozi wa Simba, siku aliyokuja rais wa CAF, Mo alikuwepo pale kama nani?Nitamshangaa sana kama atakubali kung'oka kirahisi tu, huku akitambua fika kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji.
Naam mimi ni moja ya watu naamini taarifa zako mkuu nikiona andiko toka kwa Gena lazima nifungue na nisome kwa kutulia, the pure talented charismatic fellaBila shaka baada ya kuliona Umefurahi sana Mkuu au?
Acha lugha chafu kijana wengine baba zako humu.Unamtaka akuoe
Msimu wa boli ufike nipasuke mbavu kwa kushangilia wanaume mie💪💪💚💛🖤🖤🕺🕺
Ngungu boy mtoto wa mjini yule hawamuweziMimi nawashangaa sana hawa waliokuja Dar kwa mafuso ya kubeba nafaka,wanadhani maneno yao ndio yatamfanya Ngungus Boy mtoto wa Dar Downtown Kitammbo atatishika na maneno yao ya khanga.
Dada mzima wewe..?Wewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Mzima ww jeee...hujambo?Dada mzima wewe..?
Ndyo shida ilipo hapo tatzo wajukuu watakula kwa nan na wpo wote kwa babu uwakka nasema stoki hii ndyo nafas yangu weee niende wap nyieTafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Sijambo, naona mpo kwenye mapinduzi, hahahMzima ww jeee...hujambo?
Hatumtaki ana mawazo ya kizee..Sijambo, naona mpo kwenye mapinduzi, hahah
Wakati mnamchagua alikuwa kijana..? HahaHatumtaki ana mawazo ya kizee..