Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

Hapana mtani. Mimi najaribu tu kusimama kwenye haki. Mtuambie kosa la Mangungu ni lipi mpaka kufikia hatua ya kushinikizwa kujiuzulu na baadhi ya mashabiki!

Kumbuka Mangungu ni Mwenyekiti wa klabu aliyechaguliwa na wanachama! Kwa hiyo wanachama ndiyo wenye haki ya kumuondoa, tena kupitia mkutano ule ule uliomchagua. Au labda katiba ya timu yako iko tofauti na katiba nyingine?
Mtoa mada kasema mangungu ajiudhuru au kujiudhuru kunahitaji mkutano mkuu? Sababu za kujiudhuru ni timu kufanya vibaya chini ya uongozi wake.
 
Nitamshangaa sana kama atakubali kung'oka kirahisi tu, huku akitambua fika kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji.
Mimi huwa najiuliza, kama Mo alitoka kwenye uongozi wa Simba, siku aliyokuja rais wa CAF, Mo alikuwepo pale kama nani?
Huyu Mhindi ni mjanja janja tu!
 
Hakuna mkutano
 

Attachments

  • IMG-20240613-WA0036.jpg
    IMG-20240613-WA0036.jpg
    57 KB · Views: 2
Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
Ndyo shida ilipo hapo tatzo wajukuu watakula kwa nan na wpo wote kwa babu uwakka nasema stoki hii ndyo nafas yangu weee niende wap nyie
 
Back
Top Bottom