Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Tuko tayari kulinda maslahi yetu kwa njia yoyote Wakenya kaeni chonjo.
 
Tutalilinda Bomba la Mafuta Kwa nguvu zote.
 
Nasikia kuna baadhi ya vituo vya polisi vimezingirwa na wafuasi wa Besigye.
Kwani aliomba kugombea urais au ufalme? Uganda ufalme ni wa makabila siyo wa nchi nzima. Aende kwao Mpololo akawe mfalme. Amuulize Obote na wenzie. Tanzania kumwaga damu tena kwa ajili ya nduli Museveni itakuwa aibu kwa dunia nzima.
 
hiiiiiiii
 
Mu

Sijasema kuwa tuivamie Uganda na kumtoa Museveni la hasha ninachosema tumlinde mseveni.trust me niah hakuna raisi aliyeituliza Uganda kama Yoweri iwapo atang'olewa Uganda itarudi kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe na Bomna la mafuta litalipuliwa na wahuni sisi huku tutakosa mapato.ya Dola 7 kwa kila lita inayopitia transit kwenye ardhi yetu.
 
Vijana wetu wasogezwe mtukula ili kulinda mtakaba wetu wa bomba la mafuta.
Vijana wetu wana mafunzo ambayo haluna mKenya atayeyaweza.
 
Utawala wake umekaribia ukingoni..bora akimbie tu vinginevyo atafanywa mshikaki
 
Mbna unalia na mafuta tu? Haulii na uhai wa watu wanaopoteza huko kwa museven?
Nimeshasema tena na tena vurugu dhidi ya Museveni zin anzishwa na kundi la fulani ambalo halitaki mtu mweusi aemdelee angalia Nigeria baada ya ugunduzi wa mafuta vita kali kuwahi kutokea barani Afrika ikaanza vita ya Biafra.
 
Huyu jamaa analia na mafuta, hawalilii watu uhai wanaopoteza
 
whats wrong with EASR AFRICA POLITICA WING.lazima kuna shida mahala Fulani sio bure aisee
 
Hyo ndio dawa ya dictator, wakimaliza hapo wanahamia kwa kagane
 
Ushauri wangu kwa raisi Magufuli vyombo vyetu vikae macho na yanayoendelea Uganda hizi vurugu za kisiasa Why Now?!
 
Nimeshasema tena na tena vurugu dhidi ya Museveni zin anzishwa na kundi la fulani ambalo halitaki mtu mweusi aemdelee angalia Nigeria baada ya ugunduzi wa mafuta vita kali kuwahi kutokea barani Afrika ikaanza vita ya Biafra.
Mafuta hayana faida kama watumiaji wanauawa, bora nini? Wananchi waendlee kuuawa ili mafuta yawepo? Au museven kung,olewa ili mafuta yapotee? Naona uhai wa raia ni muhmu kuliko mafuta unayodai yanataka kuteketea kwa upumbavu wa viongozi vichwa panzi kama museven, anaweza kwenda.
 
Kagame keshasogeza askari wake mpakani na Uganda,biashara kati ya Rwanda na Uganda ni mabilioni ya dola kwa hiyo Kagame lazima alinde maslahi ya nchi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…