Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Apigwe shaba tu huyo nyang'au M7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumisi sana Mama Sabrina#Musevenmustgo
Mkuu wewe ni mpotoshajiView attachment 863682
Vikosi vya majeshi ya Rwanda vikipata Briefing karibu na mpaka wa Uganda ni kwanini na sisi Watanzania tusijiandae kutoa msaada
Kwani aliomba kugombea urais au ufalme? Uganda ufalme ni wa makabila siyo wa nchi nzima. Aende kwao Mpololo akawe mfalme. Amuulize Obote na wenzie. Tanzania kumwaga damu tena kwa ajili ya nduli Museveni itakuwa aibu kwa dunia nzima.Nasikia kuna baadhi ya vituo vya polisi vimezingirwa na wafuasi wa Besigye.
hiiiiiiiiKwani aliomba kugombea urais au ufalme? Uganda ufalme ni wa makabila siyo wa nchi nzima. Aende kwao Mpololo akawe mfalme. Amuulize Obote na wenzie. Tanzania kumwaga damu tena kwa ajili ya nduli Museveni itakuwa aibu kwa dunia nzima.
Sijasema kuwa tuivamie Uganda na kumtoa Museveni la hasha ninachosema tumlinde mseveni.trust me niah hakuna raisi aliyeituliza Uganda kama Yoweri iwapo atang'olewa Uganda itarudi kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe na Bomna la mafuta litalipuliwa na wahuni sisi huku tutakosa mapato.ya Dola 7 kwa kila lita inayopitia transit kwenye ardhi yetu.Kwani aliomba kugombea urais au ufalme? Uganda ufalme ni wa makabila siyo wa nchi nzima. Aende kwao Mpololo akawe mfalme. Amuulize Obote na wenzie. Tanzania kumwaga damu tena kwa ajili ya nduli Museveni itakuwa aibu kwa dunia nzima.
Mbna unalia na mafuta tu? Haulii na uhai wa watu wanaopoteza huko kwa museven?Bobi wine ameanza kutumika na mabeberu ili aichafue uganda na mafuta yaende bure.
Nimeshasema tena na tena vurugu dhidi ya Museveni zin anzishwa na kundi la fulani ambalo halitaki mtu mweusi aemdelee angalia Nigeria baada ya ugunduzi wa mafuta vita kali kuwahi kutokea barani Afrika ikaanza vita ya Biafra.Mbna unalia na mafuta tu? Haulii na uhai wa watu wanaopoteza huko kwa museven?
Huyu jamaa analia na mafuta, hawalilii watu uhai wanaopotezaVijana wetu hawafanyi kazi za kijinga namna hiyo.
Unasema tunatetea maslahi? What about raia wa uganda? Unafikiri wale ni ng'ombe kwamba it okay wao kuzid kugandamizwa in the name of maslah yetu?
Until museven atakapo sikiliza sauti za wananhi wake.. serikal ya tz hauwez kufanya jambo la kitoto kupeleka vikos mpakan kisa jiran amelikoroga mwenyewe.
Mafuta hayana faida kama watumiaji wanauawa, bora nini? Wananchi waendlee kuuawa ili mafuta yawepo? Au museven kung,olewa ili mafuta yapotee? Naona uhai wa raia ni muhmu kuliko mafuta unayodai yanataka kuteketea kwa upumbavu wa viongozi vichwa panzi kama museven, anaweza kwenda.Nimeshasema tena na tena vurugu dhidi ya Museveni zin anzishwa na kundi la fulani ambalo halitaki mtu mweusi aemdelee angalia Nigeria baada ya ugunduzi wa mafuta vita kali kuwahi kutokea barani Afrika ikaanza vita ya Biafra.