Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.

Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Hiyo Hali inaweza jitokeza Mahali popote Duniani watu wakichoshwa huwa hawarudi nyuma ''Enough is enough'' Kila Mtu ni kichaa ukuichaa hufika unapokuwa una hasira tena za muda mrefu kuzituliza ni ngumu maana uvumilivu unakuwa umefika mwisho ''a point of no return'' Waulize pia wano funga vibwewe watakupa majibu mazuri zaidi kwanini huwa wanafanya hivyo
 
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.

Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Kila mtu atakapoamua kuwa kichaa kama vichaa Na.1 hapatakalika,maana kila mmoja ana ukichaa wake when comes to enough is enough kama mbwai na iwe! Let him feed on fruits he planted.
 
Hawa (waganda) ni ndugu zetu, majirani zetu ila kinachoendelea kwao wana uwezo mkubwa wa kukifanyia kazi na wakabaki na amani. Tusijiingize kwenye migogoro isiyotuhusu tukaja tumbukia kwenye majanga makubwa.

Japo tunashauliwa kujifunza kwa waliofanikiwa .. ila hata wale walioangamia tuna la kujifunza toka kwao.
 
Mseveni ameongea na Raisi Kagame kwa simu asubuhi ya leo,nadhani haijafahamika wameongea nini,ila kwa mtizamo wangu atakuwa anaomba msaada wa ulinzi zaidi.
Sawa hiyo ni kwa ajili yake mwenyewe. Laki sis haituhusu. Kwanza tz yuna matatizo kibao lazima tuyaganyie kazi.

ya museveni mwachie museven mwenyewe
 
Anaweza akashika shemeji yake na IDDI AMINI halafu akatuvamia tena.
Ndoto za alinacha hizo. akuna cha shemeji wala wifi ake.
Museven amehitakia mwenyewe, na alijua nn kinafuata lakin akaa kimya. Leo yamefukuta huko tukamsaidie? Kwa lipi hasa. Apambane na hali yake?
 
halafu mleta mada ni mwongo na mnafiki hakuna kitu kama hicho hapa uganda kwa siku hii ya leo, msichukue clip za nyuma na kuzitafutia cha kuandika jinga kabisa wewe, aminini watanzania wenzangu nawaambia akitoka museveni madarakani hii uganda yatatokea machafuko ambayo hayawahi kutokea toka imezaliwa
 
1000w_q95.jpg

Vikosi vya majeshi ya Rwanda vikipata Briefing karibu na mpaka wa Uganda ni kwanini na sisi Watanzania tusijiandae kutoa msaada
 
halafu mleta mada ni mwongo na mnafiki hakuna kitu kama hicho hapa uganda kwa siku hii ya leo, msichukue clip za nyuma na kuzitafutia cha kuandika jinga kabisa wewe, aminini watanzania wenzangu nawaambia akitoka museveni madarakani hii uganda yatatokea machafuko ambayo hayawahi kutokea toka imezaliwa
Iwapo Museveni atang'olewa bomba la mafuta litahamishiwa Kenya tutakosa mapato mengi sana
 
Hawa (waganda) ni ndugu zetu, majirani zetu ila kinachoendelea kwao wana uwezo mkubwa wa kukifanyia kazi na wakabaki na amani. Tusijiingize kwenye migogoro isiyotuhusu tukaja tumbukia kwenye majanga makubwa.

Japo tunashauliwa kujifunza kwa waliofanikiwa .. ila hata wale walioangamia tuna la kujifunza toka kwao.
Kwani matatizo yetu yanatofouti gani na Uganda tumetawaliwa na chama kimoja zaidi ya miaka 50 hamna demokurasia uhuru usawa uchanguzi huru nk. Sasa who will help who?
 
Back
Top Bottom