Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hizo takwimu chanzo chake ni wapi? Unaijua sherìa ya takwimu wèwe?Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo takwimu chanzo chake ni wapi? Unaijua sherìa ya takwimu wèwe?Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Kabisa... eti CCM wanaanza kumtetea role model wao.#Musevenmustgo
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.
Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hiyo 7 kwa 3 ndio kuzidiwa?Kumbuka nchi yetu imezidiwa na wageni katika kila watanzania kumi watatu ni wageni.
Kila mtu atakapoamua kuwa kichaa kama vichaa Na.1 hapatakalika,maana kila mmoja ana ukichaa wake when comes to enough is enough kama mbwai na iwe! Let him feed on fruits he planted.Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.
Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Sawa hiyo ni kwa ajili yake mwenyewe. Laki sis haituhusu. Kwanza tz yuna matatizo kibao lazima tuyaganyie kazi.Mseveni ameongea na Raisi Kagame kwa simu asubuhi ya leo,nadhani haijafahamika wameongea nini,ila kwa mtizamo wangu atakuwa anaomba msaada wa ulinzi zaidi.
acha kudanganya watu mkuu mimi nipo hapa masaka muda huu hakuna hata mtu anayeandamana acheni kuzusha vitu msivyovijuaKatika miji ya Masaka na Tororo hali ni mbaya zaidi.
Ndoto za alinacha hizo. akuna cha shemeji wala wifi ake.Anaweza akashika shemeji yake na IDDI AMINI halafu akatuvamia tena.
Kagame haziivi na M7 hayo majeshi labda ni kwajiri ya Usalama wa RwandaMajeshi ya Rwanda yamesogezwa karibu na mpaka wa Uganda na yako katika hali ya tahadhari.
Harare - Pretoria - Ethiopia - Kampala - Next...?#Musevenmustgo
Iwapo Museveni atang'olewa bomba la mafuta litahamishiwa Kenya tutakosa mapato mengi sanahalafu mleta mada ni mwongo na mnafiki hakuna kitu kama hicho hapa uganda kwa siku hii ya leo, msichukue clip za nyuma na kuzitafutia cha kuandika jinga kabisa wewe, aminini watanzania wenzangu nawaambia akitoka museveni madarakani hii uganda yatatokea machafuko ambayo hayawahi kutokea toka imezaliwa
Kwani matatizo yetu yanatofouti gani na Uganda tumetawaliwa na chama kimoja zaidi ya miaka 50 hamna demokurasia uhuru usawa uchanguzi huru nk. Sasa who will help who?Hawa (waganda) ni ndugu zetu, majirani zetu ila kinachoendelea kwao wana uwezo mkubwa wa kukifanyia kazi na wakabaki na amani. Tusijiingize kwenye migogoro isiyotuhusu tukaja tumbukia kwenye majanga makubwa.
Japo tunashauliwa kujifunza kwa waliofanikiwa .. ila hata wale walioangamia tuna la kujifunza toka kwao.