The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wamarekani waliposhinda Iraq maana yake waliijua Iraq na makabila yake?Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
na amesomea UDISMsasa huyo si kaishi bongo nasikia mambo yote kuhusu yeye yalianzia hapa so sio ajabu.
We hujui kuwa kasoma UDSM, na kukulia Moshi?Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Yoweri Museveni ameishi Tanzania,amesoma hapa, amefundisha Tanzania.Binafsi mi nimekuwa na mashaka haya kuhusu mifumo yetu ya ulinzi! Mikoa iliyopo mipakan kuna watu weng mno toka nchi jiran wanafanya kazi hasa vibarua,biashara as if ni watz! Unaweza ukafika holili , jipe ,tarakea au toloha ukakuta duka la raia wa kenya na mamlaka zipo kimya tu! Ukija huku kwimba wapo waganda,wakenya na wanyarandwa kibao wananunua na kuuza mpunga as if ni wasukuma! Sasa huwez jua majasusi wapo wangap humo kwenye hayo makundi! Sio ajabu ukakuta kagame ana taarifa zote za gesi ya mtwara, chuma cha liganga nk! Si alituma kikosi kupambana na ugaid msumbiji!?
Kwanini sasa muingie kwenye mivutano na Museveni? Maccm bana huwa mnakuwa na akili za kijinga kijinga tuNimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Kasoma UDSMNimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Wewe hujui Tanzania ndio wamemuweka pale?Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
M7 na Kagame plus Kabila wa Kongo, both baba na mtoto wote hao ni vijana wetu, Kabila Jr kasomeshwa kwa kodi zetu kuanzia msingi, secondary hadi Jeshi, baba yake alikua anaishi Sinza na Kabila kakulia Sinza, secondary kasoma Sumbawanga huko, same same na hao wengine including M7 anae zungumziwa hapa. Kwa taarifa yako, M7 ndio mwanzilishi wa wazo la kumpa Nyerere UTAKATIFu ule wa Roman Catholic, anamuonaga Nyerere kama baba yake kabisa. So sio ajabuBinafsi mi nimekuwa na mashaka haya kuhusu mifumo yetu ya ulinzi! Mikoa iliyopo mipakan kuna watu weng mno toka nchi jiran wanafanya kazi hasa vibarua,biashara as if ni watz! Unaweza ukafika holili , jipe ,tarakea au toloha ukakuta duka la raia wa kenya na mamlaka zipo kimya tu! Ukija huku kwimba wapo waganda,wakenya na wanyarandwa kibao wananunua na kuuza mpunga as if ni wasukuma! Sasa huwez jua majasusi wapo wangap humo kwenye hayo makundi! Sio ajabu ukakuta kagame ana taarifa zote za gesi ya mtwara, chuma cha liganga nk! Si alituma kikosi kupambana na ugaid msumbiji!?
Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania.
Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk.
Sasa ikiwa mtu kama huyu tukaingia kwenye mivutano naye haiwezi kuwa hatari kwetu kutokana na kwamba anajua vingi sana vya kwetu!?
Kabila kasoma Sangu - Mbeya sio sumbawanga. Nyumba wanazo kibao tu, kunduchi , Tegeta nk.M7 na Kagame plus Kabila wa Kongo, both baba na mtoto wote hao ni vijana wetu, Kabila Jr kasomeshwa kwa kodi zetu kuanzia msingi, secondary hadi Jeshi, baba yake alikua anaishi Sinza na Kabila kakulia Sinza, secondary kasoma Sumbawanga huko, same same na hao wengine including M7 anae zungumziwa hapa. Kwa taarifa yako, M7 ndio mwanzilishi wa wazo la kumpa Nyerere UTAKATIFu ule wa Roman Catholic, anamuonaga Nyerere kama baba yake kabisa. So sio ajabu