Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Kwa hiyo Ghadaffi alikuwa mwana mapinduzi ?.Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3
Iddi amini si alikuwa anafadhiliwa na wapalestina? Kumbe Ghadafi naye anafadhili M7?Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3
Hahaha......Jamaa alikuwa kama.... anapiga huku na kuleGaddafi alimsaidia Iddi Amin pia kuivamia Tanzania
Gaddafi alimsaidia Iddi Amin pia kuivamia Tanzania
Kumaanisha nini!??Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3
kuna watu wanamuona gadafi ni kama shujaa ila yule jamaa kila sehemu iliyokuwa na migogoro ilikuwa na mkono wake
Gadafi alituma ndege na silaha vita ya Kagera kuipiga Tanzania. Gadafi was the enemy to us, nashangaa wanavyompamba
Ingekua bongo basi ungesikia watu oooh dini yetu imeoigania uhuru ππππππ.Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3
Kwa hiyo Ghadaffi alikuwa mwana mapinduzi ?.
Mzee anazeeka vibaya anaanza kutoa siri za kambi.Bongo tulikuwa wakorofi na wachokozi sana. Kwa nini tulikuwa tunatunza waasi dhidi ya serikali ya Uganda nchini mwetu?
Huwezi jua labda nao kuna support walitoa kwa Ghadafi kwa kumpa maaskari mamluki ni vile tu walizidiwa nguvu. Subiri tu miaka 30 au 40 ijayo utapata story kama hizi za M7 kuhusu vita vya LibyaHalafu ilivyofika zamu ya Gadar kuhitajika kusaidiwa?. Akabakia peke yake kwenye shimo. Dunia it's fare.
Kuna funzo kubwa sana hapa. Hata ktk maisha yetu ya kawaida,mfano unapomsomesha mtoto wako au yoyote kamwe usiweke matatajio ya kukusaidia au kukurudishia hisani hiyo baadae. Utakuja kuumia sana kama una matatajio hayo. Anaweza akapata mafanikio makubwa halafu wewe akakuona mchawi wake ksbb mke hapati mimba. Kawaida tenda wema nenda zako.
Political Asylum ni haki ya msingi sio uchokoziBongo tulikuwa wakorofi na wachokozi sana. Kwa nini tulikuwa tunatunza waasi dhidi ya serikali ya Uganda nchini mwetu?
Vita ya Tanzania na Uganda ni kwa sababu Iddi Amin alivamia Tanzania, hata kama alikuwa mzuri kwa Waganda kama malaika haikuwa sababu ya kuivamia Tanzania na alipata kile alichostahili.Hii vita ya kagera nina imani kuna vitu vingi vimefichwa nyuma ya panzia, maan ukiangalia waganda jinsi wanavyomsifu rais idd Amin kwamba ndo best president ever kuwahi kutokea uganda .wanadai mambo ya udikteta wake ni propaganda kutoka western countries