Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Ghadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement yake.
Ikumbukwe, Museveni pia alisaidiwa na Tanzania ktk angle nyingi ikiwemo kimbilio na hifadhi yake na wapiganaji wake.
Ghadafi alisaidia movement nyingi za kiuanamapinduzi ndani ya Afrika ikiwemo ANC ya Sfrika ya kusini.
Unaweza kumsikiliza hapa
View: https://youtu.be/lbfv530sAEY?si=vjft3lUCKSf3nLY3